Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Sakata la Lissu: Mange kufunguka

Status
Not open for further replies.
Hapa naona vijana wa lumumba povu linawatoka kana kwamba wanajua nini kinafuata.
 
Mange ukipinganenae kule instar ana kublock hataki umpinge,hivyo hata kama amendika kitu na unaona una mawazo tofauti unatakiwa ujizuie kutoa hayo mawazo kama hutaki akublock.

Sijajua kwanini nae anashindwa kuvumilia kupingwa!!
Kumbe hapingwi! Unasema ukimpinga tu anakublock? Huyu ndiye tunamshangilia kwamba ni mwanademokrasia kumbe hataki kupingwa
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
Unalaumu watu bure..

Tulia bob walaumu walioleta smartphone na waliorahisisha upatikanaji wa bando kirahisi
Kwani,
umepitia misoto mingapi mpk ushindwe kuupita huu msotesho wa Mange..???
 
Ni aibu kijana wa kitanzania kushikwa akili na Mtu anayefanya biashara ya ngono marekani.
She is a whistle blower and they are all over the World..

Wewe kama unamchukulia ni Malaya hilo ni juu yako..

Lakini unajua ukweli kwamba Mange ana influence kubwa katika Siasa za Tanzania na ndio maana vijana wa Lumumba mkisikia jina lake gafla huwa mnaingia mwezini..

Ndio ivyo watu wanaosubiria hiyo habari itakayopasua anga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom