Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
pigeni kura ya kutokuwa na imani bunge livunjwe turudie uchaguzi upya shenzi nyie, kitwanga wapotezee tu hawana maana, hela ale Lugumya eti afukuzwe kitwanga mambo ya kijinga kabisa. Nawaambia uchaguzi ukirudiwa sasa hivi atarudi bungeni mbowe peke yake.Naamini kuna wabunge wataibua hoja ya kumtaka waziri huyu ajiuzulu na akigoma hoja hiyo itaelekezwa kwa boss wake(waziri mkuu) maana wabunge hawana mamlaka ya moja kwa moja ya kumwajibisha waziri bali wana mamlaka ya kumwajibisha waziri mkuu kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
Namshauri waziri huyu asome alama za nyakati na afanye uamuzi sahihi badala ya kusubiri shinikizo la Bunge kwani kutajwa tu ni sababu tosha ya yeye kutakiwa kujiuzulu.
Bunge linaanza wiki ijayo hivyo tusubiri kuona nini kitatokea maana mpaka sasa kuna wabunge ambao teyari wameshajeruhiwa na wengine wako mbioni sasa sidhani kama nao watakuwa na salia mtume katika hili.
Hiki ndicho kinafuata huku kina Kangi wakiwa teyari wameshajeruhiwa huku wengine 18 wakiwa mbioni kupandishwa kizimbani.Sipati picha hali itakuwaje.Itakuwa no vema zaidi, maana kashindwa kusimamia Mawaziri wake.
Kama vipi kajitundike!pigeni kura ya kutokuwa na imani bunge livunjwe turudie uchaguzi upya shenzi nyie, kitwanga wapotezee tu hawana maana, hela ale Lugumya eti afukuzwe kitwanga mambo ya kijinga kabisa. Nawaambia uchaguzi ukirudiwa sasa hivi atarudi bungeni mbowe peke yake.
kwenda zakoKama vipi kajitundike!
Mawazo haya ni ya kusikitisha sana!!Fikra zetu zimedumazwa na siasa za matukioMh.Majaliwa au Mh.Magufuri hawa jamaa ni Wazalendo sana kwa Taifa letu aisee...tuwape moyo na si kuleta nyuzi kama izi salary slip Nchi ilikua imeoza hii kwa kazi wanayofanya still unaongea hayo mkuu mimi ukawa hawa Jamaa wapo vizuri wapewe muda tuu.
Kwasababu bilioni 34 za walipa kodi wa nchi hii si kitu!!!
Kwa hiyo mnapiga kura ya kumuondoa Majaliwa kwa tuhuma za 2010? Nyie jamaa mmepagawa sio siri.Ndio shida ya watu wenye upofu wa fikra hujuma ya Mali ya umma tuiache kwasababu mhujumu,au bosi wake ni kipenzi cha watu
So ajabu watu wanaowapenda wahujumu wana matatizo yakisaikolojia
Aliyekula ni Lugumya sasa Kitwanga anaingiaje hapo kama sio kuleta chokochoko tuNdio shida ya watu wenye upofu wa fikra hujuma ya Mali ya umma tuiache kwasababu mhujumu,au bosi wake ni kipenzi cha watu
So ajabu watu wanaowapenda wahujumu wana matatizo yakisaikolojia
Hivi wewe unajua unachoongea?Bunge likivunjwa, mpira ukarudi kati, UKAWA hawatapata hata mbunge mmoja.
Sasa mbona hujielewi?wakati fulani ni viziri kujisomea mambo ili angalau uongeze uelewa.pigeni kura ya kutokuwa na imani bunge livunjwe turudie uchaguzi upya shenzi nyie, kitwanga wapotezee tu hawana maana, hela ale Lugumya eti afukuzwe kitwanga mambo ya kijinga kabisa. Nawaambia uchaguzi ukirudiwa sasa hivi atarudi bungeni mbowe peke yake.
Naamini kuna wabunge wataibua hoja ya kumtaka waziri huyu ajiuzulu na akigoma hoja hiyo itaelekezwa kwa boss wake(waziri mkuu) maana wabunge hawana mamlaka ya moja kwa moja ya kumwajibisha waziri bali wana mamlaka ya kumwajibisha waziri mkuu kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
Namshauri waziri huyu asome alama za nyakati na afanye uamuzi sahihi badala ya kusubiri shinikizo la Bunge kwani kutajwa tu ni sababu tosha ya yeye kutakiwa kujiuzulu.
Bunge linaanza wiki ijayo hivyo tusubiri kuona nini kitatokea maana mpaka sasa kuna wabunge ambao teyari wameshajeruhiwa na wengine wako mbioni sasa sidhani kama nao watakuwa na salia mtume katika hili.
Shinyanga haina watumishi hewa: mama kilango malecelaWanasema hizo pesa sio za wananchi kama walivyo tulaghai kwenye Escrow.