Africa utamaduni wa kujiuzulu unatokea mara chache sanaNashangaa mtu ambaye kampuni yake inatakiwa kufanya kazi na jeshi la polisi ndo anakuwa waziri mwenye dhamana na chombo hicho cha dola! Hapa kuna conflict of interests kubwa!
Tutajuaje sisi je akitumia cheo chake kukwamisha uchunguzi?
Je akitumia cheo chake kutowachukulia hatua walioshindwa kutekeleza mkataba kwa kuwa naye ni mnufaika kupitia kampuni yake?