Sakata la Lugumi: Waziri Kitwanga kusababisha kuibuka kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu?

Africa utamaduni wa kujiuzulu unatokea mara chache sana
 
Nani kakudanganya?
 
Mkuu ungenawa uso kwanza, piga mswaki, then upate kifungua kinywa ndio uje kuchangia.....huu utaratibu wa kuchangia hoja huku uso umejaa tongotongo na tumbo halina kitu una madhara makubwa sana
 
Hamna namna,atumbuliwe tu na yeye,alikuwa anaona raha kutumbua wenzake bila hata kuwapa muda wa kujitetea
 
Na mimi ninasema watumbuliwe tu, tumeshachoka na hawa mafisadi wa ccm watumbuliwe tu maana hakuna namna.
 
Mkuu hivi una utindio wa ubongo??? aaaa Msigwa kaisha sema mnahitaji mental diagonosis, hivi ukawa ambao sasa hivi mmegeuka kuwa watetezi wa mafisadi na mashoga mko wangapi bungeni hadi muwe na power ya kumuangusha waziri mkuu???? hizi bhangi zako nafikiri ungezipeleka mtaa unaoitwa ufipa.Yaani vijana wa ukawa mmegeuka waganga wa kyenyeji siku magufuli alivyokuwa anajiandaa kuhutubia bunge mliapa kumzuia lakini mkashindwa,kitambo kidogo tbc ikaacha kuonyesha matangazo ya moja kwa moja bungeni mkaapa bunge kutoendelea na vikao vyake ...matokeo yake bunge likaendelea...leo wewe shoga la mafisda ooo sory kibaraka wa mafisadi unakuja kutuletea ngonjera zako humu ndani zisizo na kichwa wa miguu nyambafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…