katika hukum ilosomwa ulisikia tusi lolote limetajwa?Kaka jamaa aliitukana mamlaka ulitaka wampe soda
adhabu isiyoendana na kosa haiwezi kuwa fair, mamlaka wamejivua nguo ktk hili.Hiyo fair mnataka iwe kwa TFF tu? Kwani na ninyi msichukulie fair huyo adhabu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alitaka wampe na kapelo ya kuzuia jua lisimuunguze.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mbavu cnaaa, ila nyie watu khaaaah.labda ananizidi kukosa melanin kwenye ngozi na meno ya njano kama jezi za yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnachotaka m20 ipunguzwe sio ila miaka miwili sawaYani kupishana kauli mil20 hata ww kolo usie na akili unakubaliana na hii?
Anamzidi nini nasma pesaAnakuzidi kila kitu huyo mwenye matatizo ya akili
Fair play ni pamoja na kutumia matendo na lugha nzuri, si kama alivyofanya Manarafamilia ya soka inaongozwa na fair play, sio makasiriko.
Hujaeleza namna nguo zilivyovuliwaSalaam wakuu,
Sakata la manara limezua mjadala mkubwa sababu watu wengi wanaona hukumu ilotolewa haiendani na kosa, haiingii akilini kupishana kauli likawa kosa la kutolewa adhabu ile.
manara ashapewa adhabu huko nyuma bt watu hawakulalamika sababu adhabu zilikua fair sio kama hii ya sasa ilokaa kimchongo.
Tff, Jitafakarini kabla hamjaliharibu soka letu kwa maamuzi yalojaa chuki, yasoendana na uhalisia wa makosa.