Sakata la Manara limewavua nguo TFF

Sakata la Manara limewavua nguo TFF

labda ananizidi kukosa melanin kwenye ngozi na meno ya njano kama jezi za yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mbavu cnaaa, ila nyie watu khaaaah.
 
Salaam wakuu,

Sakata la manara limezua mjadala mkubwa sababu watu wengi wanaona hukumu ilotolewa haiendani na kosa, haiingii akilini kupishana kauli likawa kosa la kutolewa adhabu ile.

manara ashapewa adhabu huko nyuma bt watu hawakulalamika sababu adhabu zilikua fair sio kama hii ya sasa ilokaa kimchongo.

Tff, Jitafakarini kabla hamjaliharibu soka letu kwa maamuzi yalojaa chuki, yasoendana na uhalisia wa makosa.
Hujaeleza namna nguo zilivyovuliwa
 
Huyu hapa ndiye kajivua nguo mwenyewe
1658543882520.jpg
 
Huu msukele ndiyo umejivua nguo. Ni hatari kuendekeza uhuni kama huu kwenye mpira wetu. TFF fungieni hii takataka maisha
 

Attachments

  • Screenshot_20220725-162904.png
    Screenshot_20220725-162904.png
    259 KB · Views: 4
Back
Top Bottom