Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 87
CCM waache siasa hizi za ajabu ajabu kama hivi, then wao ndio wataleta balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radhi siombi msimamo wangu ni huo aandike habari zake kwa umakini sio kwa ushabiki yeye ni mzoefu wa haswa televisheni anajua anachofanya
Kwanini unasema Shibuda anahusika?
Nimetoa mfano wa Hassan Nzege ambaye alikuwa mwandishi wa habari na mwendeshaji wa vipindi vya televisheni kwa kutumia jukwaa lake hilo aliandika na kutoa taarifa za upande mmoja kushawishi kundi lingine na kilichotokea mpaka leo tunajua huko rwanda sasa kwa kuwa pasco ni mzoefu katika uandishi na vipindi vya televisheni alitakiwa awe na taarifa za kutosha kuhusu vitu hivi sio anakurupuka tu kama alivyofanya hivyo na aishie kusema anafuatilia upande wa pili - wakati ujumbe umeshatumwa umeshaingia vichwani mwa watu watu wameshaanza kupata woga na aina nyingine ya chuki kwenye jamii -- kwa sababu tu ana uwezo wa kuandika na kutoa mawazo yake
Radhi siombi msimamo wangu ni huo aandike habari zake kwa umakini sio kwa ushabiki yeye ni mzoefu wa haswa televisheni anajua anachofanya
Breaking news huwa zimekamilika?I hope mods wanafuatilia sasa na muda si mrefu watacomfirm.
damu imemwagika!!!!! Yethu na Maria
Breaking news huwa zimekamilika?I hope mods wanafuatilia sasa na muda si mrefu watacomfirm.
Sijaita jina nimesema kwa kuwa aliwahi kuwa mwendeshaji wa vipindi vya televisheni alitakiwa kuwa mzoefu wa kuandika na kutoa maoni yake si ya upande mmoja kama hivyo anavyofanya ni mbaya sana - asiwe kama hassan ngeze wa rwanda aliyekuwa jela sasa hivi
Mnabishana na huyo mnapoteza muda wenu bure. Huyu ni wa kuweka kwenye list ya ku-ignore!
Selous, yes Shibuda yuko chini ya ulinzi, ila pia anashikiliwa kiuheshimiwa heshimiwa, jana amelala selo, leo asubuhi akaruhusiwa kwenda home kupata breakfast ya nguvu na kujipiga soap soap na kurejea mikononi mwa polisi. Mpaka nilipoongea nae, alikuwa bado ameshikiliwa ila pia anaruhusiwa kupiga simu etc.Mkuu Pasco,
Ina maana Shibuda nae yupo selo? sijaelewa. RIP aliepoteza maisha.