Ndugu naona na wewe uko kwenye kampeni jinsi ulivyo present habari yako imekaa kishabiki kwa kuchukuwa upande mmoja tu wa maoni yaani shibuda -- kwa kuwa umewahi kuendesha vipindi vya televisheni haswa vya kukalisha wagombea na wanasiasa mbalimbali nilidhani unauzoefu wa kuchukuwa habari na maoni pande zote mbili -- umechukuwa moja ukaja kuweka hapa
Shy pls read the post between its line, part of it reads:
Kwa vile Shibuda ni interested party, upande wake wa story lazima upatiwe balance ya upande wa pili wa CCM na hatimaye kuthibitishwa na authorities za Jeshi la polisi.
Naendelea kufuatilia upande wa pili na uthibitisho wa polisi, pia nafanya juhudi za kumtafuta mpiganaji Fredirick Katulanda ambaye siku zote husimama wima bila kuegemea upande wowote.
Unataka huyu ndugu abalance vip uandishi wake?
Afadhali hiyo kura moja ya ccm imepungua. Mungu hamtupi mja wake
dereva umeuwawa ni kwa ajili ya kiherehere chako
Mbona amelitolea ufafanuzi katika story yake? Shy na wewe bwana?!Ndugu naona na wewe uko kwenye kampeni jinsi ulivyo present habari yako imekaa kishabiki kwa kuchukuwa upande mmoja tu wa maoni yaani shibuda -- kwa kuwa umewahi kuendesha vipindi vya televisheni haswa vya kukalisha wagombea na wanasiasa mbalimbali nilidhani unauzoefu wa kuchukuwa habari na maoni pande zote mbili -- umechukuwa moja ukaja kuweka hapa
Afadhali hiyo kura moja ya ccm imepungua. Mungu hamtupi mja wake
Sikonge bana, imenichukua dk kudigest hii post...Shy vipi Mkuu?
Ndiyo yale ya MWEZI BADO MCHANGA sijui?
Kuna wengine ingawa ni Wanaume, wanakuwa kama wanapaa na APOLO.
Sikonge bana, imenichukua dk kudigest hii post...
hey you...confirm that my phone has a prb...heeee...nkiki?
‎"dereva aliekuwa anaendesha gari la kampeni la ccm kuuawa na wafuasi wa chadema.".
Whats good Preta? Will do the confirmation after sunday lol! Nw its all politics...tchaa! scary politics...
Sikonge bana, imenichukua dk kudigest hii post...
umethibitishaje kuwa waliomuua ni wafuasi wa chadema?
Washabiki wa siasa ni wengi, what if aliyemuua ni mfuasi wa chama kingine au mwana ccm mwenzake waliokuwa na ugomvi binafsi?
Asante Pasco kwa Taarifa, nataka Kujua ni Kwa nini Shibuda amekuwa arredted?