Elections 2010 Sakata la mauaji ya Dereva wa CCM Maswa na hatima ya Shibuda

Kumbe serikali ni makini hivi inapokuwa CCM wameumizwa! nasikia hata Mkurugenzzi wa Upelelezi wa kesi za Jinai yuko Maswa? Wiki jana tulisoma habari toka huko huko Maswa ambapo kikosi cha Mauaji cha CCM cha Green Guards kilimlazimisha mfanyabiasharaa mmoja mjini Maswa kushusha Bendera ya CHADEMA na alipokataa walimjeruhi kwa mapanga na inasemekana alikufa baadae. Hatukusikia hekaheka zozote toka Jeshi la Polisi kana kwamba yule aliyekufa alikuwa sisimizi; lakini leo tunasikia ngonjera kibao za kifo cha mzembe huyu aliyeuwawa na wenye hasira kali wanaosingiziwa ufuasi wa CHADEMA. Tunajua hizi ni mbinu chafu za CCM za kutafuta huruma za wananchi lakini ni mchezo hatari unaotakiwa kudhibitiwa haraka. Binafsi siioni amani kama Green Guards wakiachwa kufanya kama wafanyavyo haswa baada ya uchaguzi kwa vile jinsi watanzania walivyoichoka CCM, wakiendelea kuchokozwa na kubughudhiwa na wahuni hawa lolote linaweza kutokea kwani itakuwa ni vigumu kwa viongozi wa upinzani kuwadhibiti waathirika wa uhalifu wa ma Green Guards. Naamini hasira hiyo ya wananchi imejitokeza baada ya unresponsive behaviour on the part of security organs baada ya tukio la awali ambapo CHADEMA walijeruhiwa na kupoteza maisha bila ya hatua kuchukuliwa. Nashauri wakamatwe wote waliohusika kumlazimisha yule mfanyabiashara kushusha benbera , kumjeruhi na kumpotezea maisha ili hadithi ya sasa ionekane kwa haki. Serikali lazima ifahamu sasa kuwa haina uwezo wa kuwanyamazisha watu kila siku.
Mheshimiwa Kikwete vunja haraka kikosi cha wahuni mlichojiundia cha Green Guards la sivyo De Haig itawakaribisha. Nakushauri pia kutoa tamko la kukubali matokeo kama wenzio wa upinzani walivyofanya ili kujiweka tayari kwa linaloweza tokea na usidanganyike kuwa huwezi shindwa kwa vile katika uchaguzi uliopita ulishinda kwa kishindo. Kumbuka usemi kuwa kijacho kwa kishindo huondoka pia kwa kishindo. Mungu ibariki Tanzania, bariki uchaguzi wetu.
 
Jamani hakuna wadau huko watujulishe? Au chama hakijampa usaidizi? Tukumbuke anawindwa kwa sababu aliwakimbia na sasa anawatesa kwa upinzani mkali
 
Tunamhitaji nakiwa huru.
Mazingira hayamhusishi kuingia tuhumani.
tukio la kupondolewa kwa ocd ni kifungua macho kwamba kuna shinikizo kutoka mahala fulani dhidi ya shibuda.

CCM wanamhara tangu akiwa ndani ya ccm. ndo maana aliposema atagombea na jeikei walianza kuhaha
 
Naona kama kaachiwa si likazuka sakata la OCD kupigwa kisa Shibuda aliachiwa kwa dahamana kama sikosei
 
Shibuda still in police custody

By JULIUS BWAHAMA, *23rd October 2010 @ 12:10 , Total hits: 9

AS senior police officers were busy discussing a scuffle between followers of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) and Chadema in Maswa, Shinyanga Region yesterday, Chadema followers are alleged to have assaulted CCM members in Ruvuma Region.

The scuffle in Maswa led to the death of one person. Reports from Maswa have it that senior police officers, led by the Director of Criminal Investigations (DCI), Mr Robert Manumba, yesterday held a lengthy meeting with regional police officers.

The meeting was also attended by Shinyanga Regional Police Commander, Mr Daudi Siasi. Chadema's Maswa West parliamentary candidate, Mr John Shibuda, and 12 other suspects were arrested following Thursday's fracas at his campaign rally, during which a man was killed.*

While the RPC said the opposition candidate and his supporters, who were arrested, were helping police with investigations, Mr Shibuda, an outgoing MP who defected from CCM before its nominations for the October 31 elections, cried foul, accusing the police of holding him illegally.*

Mr Shibuda, who had declared that he would challenge President Jakaya Kikwete under the CCM ticket shortly before he decamped to Chadema, said he had been informed that the police had received "instructions from above" not to release him.

Meanwhile, CCM supporter Hamisi Ndawala (52), was on Friday allegedly beaten up by Chadema supporters who stormed the party's offices at Kigulongi Mbolizagoni Branch in Ruvuma Region.

Speaking on the phone, Ruvuma RPC Michael Kamuhanda said that the incident took place at about 6:30 pm when Mr Ndawala returned from a campaign rally.

He said that the supporters of the opposition party stormed CCM's office tearing down posters of candidates and banners. During the riot they attacked Ndawala who was, fortunately, not seriously injured.

"They went to the office and started tearing down candidates' posters and banners and in the process they beat up Mr Ndawala," said the RPC.

The RPC added that no-one was arrested. Police investigation continues
 
Radhi siombi msimamo wangu ni huo aandike habari zake kwa umakini sio kwa ushabiki yeye ni mzoefu wa haswa televisheni anajua anachofanya

Tatizo ni ufundi njaa huku ukiwa na ndoto za kuwa Bill Gates siku moja....teh teh teh
 

naomba tunapotoa taarifa tusiwe kishabiki zaidi,taarifa hii haina ukweli kwa upande mwingine,jamani matukio haya yanatokea mahali pengi kwa msafara wa wagombea wa Chadema hata mgombea uraisi,tumeshuhudia mpanda,monduli na mwanza sasa ushabiki wa nini?mwanza dereva wa mbunge wa ccm aliendesha gari na alitaka kugonga gari l;a mgombea Uraisi wa chadema polisi waliona kama walivyokuwa wanaona maswa maana nimeshuhudia mpanda na hata monduli na jana Tanga.naomba tusiwadanganye watanzania kwa kuandika taarifa za uwongo tumuogope na Mungu,jamani jamani watu wanatafuta ukombosi kwa majonzi na matukio ya kutisha.

Lakini ukweli utawekwa hadharani.
 

Wananchi wenye hasira wala siyo mashabiki.
 
Katika hili hadi sasa Shibuda ni mtuhumiwa tu na kwa vile hakuwa kwenye tukio kuna uwezekano mkubwa akaachiwa huru; na hiyo huenda ikawa baada ya uchaguzi. Politically he's really fixed!
 
Ngugu wanajamii hivi Shibuda kushikiliwa na polisi kwa siku tatu sasa kwa tuhuma za uongo za mauaji ni hujuma za CCM? Magezeti kadhaa(Isipokuwa UHURU na Habari Leo) yameripoti kuwa wakati mauaji yanatokea Shibuda alikuwa akihutubia mkutano wa kampeni, sasa anahusika vipi na mauaji hayo?
 
Tunaomba mwenye data aliyenazo atupe full detail kuhusu yanayoendelea hapo Maswa. DC Manumba vipi bado yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…