Elections 2010 Sakata la mauaji ya Dereva wa CCM Maswa na hatima ya Shibuda

Wacha wamgandamize tu lakini hata miaka 20 ikipita lazima tutawafikisha The Hague wakajibu tuhuma zao. :frusty:
 
Wakuu wa chadema hebu tufahamisheni kinachoendelea katika sakata la Shibuda. Kuwekwa ndani katika siku hizi chache zilizobaki za kampeni ni mbinu chafu za thithiem ili kumnyima haki yake ya kufanya kampeni kama mgombea wa chadema.
 
CCM wana hasira na Shibuda. Watafanya kila mbinu kummaliza kwa kummunganisha na kesi hii ya mauaji.

Kisheria kwa kweli hahusiki hata kidogo. Lakini kwa sababu wanajua wakimwachia atachukua jimbo lazima watamwacha asote jela mpaka baada ya Uchaguzi. Maana kuwekwa kwake ndani kumeshinikizwa toka ngazi za juu za CCM na ndiyo maana hata Makamba alifika kwenye tukio on the same day.

Wafuasi wa CHADEMA wanatakiwa wamuunga mkono kwa kwa kumpigia kura kwa wingi ili ashinde kiti cha Ubunge.
 
Habari nilizopata sasa hivi toka Maswa ni kwamba Shibuda bado anashikiliwa na polisi kwa amri ya Makamba. Lakini popularity yake haijateteleka na ndiyo inaongezeka (sympathetic popularity). ni uonezi tu maana hakuwa kwenye tukio. Tuzidi kumwombea
 
Tunamweka kwenye sala
 
Hilo jimbo CCM wahesabu kuwa wamelipoteza mpaka hapo
 
Mkuu unaposema Makamba ni Makamba yupi? January Makamba au Yusuf Makamba? Hao wawli kwa ninavyoelewa hawana uwezo wa kutoa amri ya mtu yoyote kukamtwa. Sina hakika kama wana madaraka yoyote ya kikatiba ya kutoa amri ya wagombea ubunge kukamatwa. Nina shaka kiasi na ukweli wa habari hii. Inawezekana kuwa Shibuda amekamatwa kwa sababu nyingine tu na kwa order ya mtu mwingine si makamba.
 
Hilo jimbo CCM wahesabu kuwa wamelipoteza mpaka hapo
not easy mkuu, jeshi lililokwenda mwswa, huwezi amini ni hawahawa jamaa walipotezea wale watoto wetu walivyoungua tabora...
 
not easy mkuu, jeshi lililokwenda mwswa, huwezi amini ni hawahawa jamaa walipotezea wale watoto wetu walivyoungua tabora...

Tarime kulikuwa na jeshi mkuu. Makamba alikuwa huko. Msekwa vilevile. Lakini bado CCM walifulia.

Watu wakiamua mabadiliko, hata askari hukosa pa kupiga
 
Khakhaa ndani ya jumba. muda huu nimesmsiwa kutoka numero 25565906805 na mafisadi kuwa < chadema wametekeleza ahadi ya kumwaga damu. juzi wamemuua ndugu ya mgombea wa ccm maswa. mjumbe wa kampeni ya SLAA amekamatwa. tuwakatae chadema wamwagaji damu.>mwisho. tukio hili ccm wamelifanya ni kampeni WATZ MWAKA HATUDANGANYIKI NA USANII WAO. KURA ZOTE KWA DR WA UKWELI SLAA.
 
Hawaiwezi nguvu ya umma, umma usipopewa ushindi, hata mawe yataongea na hawataweza kusimama, watakimbiana...!

Mungu akulinde Mh Mbunge mtarajiwa Shibuda, wape hao mipasho kidogo! Huyo 'babu-sukari', na manumba wake, wajue hakuna jinsi, aondoke tu huko, Maswa wako makini na hakuna kugawa ushindi walio nao mkononi - hata wakimfunga Mbunge wao, watamchagua akiwa selo kama Aung San Su Chi (kwa wale wanaoijua historia ya siasa za Asia), amechaguliwa akiwa gerezani, na akitoa kauli akiwa huko nchi inaipokea kwa msisimko!
 
Wanachofanya ccm ni uuaji wa DEMOKRASIA, lakini yote yana mwisho,
 
nipo shyown kila mtu analizungumzia hilo tukio na wananchi wa hapa wote wapo upande wa shibuda
 
Nimedokezwa kuwa na yule mgombea wa CCM huko amekamatwa na kuwekwa ndani
 
Watu waliokuwa wananafuatilia mauaji yaliyOtokea kwenye jimbo la maswa wamepeleka maombi kwenye tume ya uchaguzi kuomba chadema wasimamishwe wasiendelee na kampeni kwenye hilo jimbo
source: TBC -TAARIFA YA HABARI SAA MBILI
my take:
:frusty:
 
Duh vibaraka wa CCM wanataka kuleta hila zao, maana wameshindwa kupambana kwenye jukwaa sasa wanataka ushindi wa mezani, mwaka huu mpaka kieleweke tu
 
Hizo ni njama tu za kutaka kupunguza makali ya CHADEMA. Wanaoanzisha fujo ni CCM wenyewe. Wafanye vyovyote Tanzania mwaka huu ni ya Chadema
 
mpaka kieleweke hapa naona wameona jimbo limekuwa la moto wameliweka kiporo mpaka uchaguzi uishe

NEC wanafuata maamuzi ya CCM inavyosema

TO hell nec
 
Hii ni hatari. Shibuda anashikiliwa wakati yeye hakuwepo katika eneo la tukio wala hakuna ushahidi kuwa aliwatuma wafuasi wake wafanye yale wanayotuhumiwa kuyafanya. Kuthibitisha kuwa watu hawa ni hatari mbona huyo mgombea wa CCM alimpiga ngwala OCD lakini hakuna hatua iliyochukuliwa.

Hata kama NEC watafanya njama za kumfuta Shibuda bado ana haki ya kwenda mahakamani na kupinga ushindi wa mezani. Kwa kweli Makame, Kiravu na NEC ni watu ambao wanachumia njaa. CCM walibadilisha katiba ili mtu mmoja yaani Jaji Makame aendelee kuwa mwenyekiti wa NEC hata baada ya muda wake kuisha. Walibadilisha sifa za Mwenyekiti na hivyo kumfanya aendelee na kazi hiyo na ndiyo maana Makame na Kiravu wanafanya kile ambacho CCM wanataka.

Aibu mbona aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…