Omuregi Wasu
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 749
- 149
Wacha wamgandamize tu lakini hata miaka 20 ikipita lazima tutawafikisha The Hague wakajibu tuhuma zao. :frusty:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamweka kwenye salaHabari nilizopata sasa hivi toka Maswa ni kwamba Shibuda bado anashikiliwa na polisi kwa amri ya Makamba. Lakini popularity yake haijateteleka na ndiyo inaongezeka (sympathetic popularity). ni uonezi tu maana hakuwa kwenye tukio. Tuzidi kumwombea
Habari nilizopata sasa hivi toka Maswa ni kwamba Shibuda bado anashikiliwa na polisi kwa amri ya Makamba. Lakini popularity yake haijateteleka na ndiyo inaongezeka (sympathetic popularity). ni uonezi tu maana hakuwa kwenye tukio. Tuzidi kumwombea

not easy mkuu, jeshi lililokwenda mwswa, huwezi amini ni hawahawa jamaa walipotezea wale watoto wetu walivyoungua tabora...Hilo jimbo CCM wahesabu kuwa wamelipoteza mpaka hapo
not easy mkuu, jeshi lililokwenda mwswa, huwezi amini ni hawahawa jamaa walipotezea wale watoto wetu walivyoungua tabora...