Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ni kweli Shibuda hakuwepo na hii ni njama sasa ngoja tusubirie jibu la nec sijui watasemaje hawa nec
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hamu ya kuingia msituni inanijia mwenzenu kwa uonevu huu unaofanya na CCM, najisikia kujitoa muhangaWatu waliokuwa wananafuatilia mauaji yaliyOtokea kwenye jimbo la maswa wamepeleka maombi kwenye tume ay uchaguzi kuomba chadema wasimamishwe wasiendelee na kampeni kwenye hilo jimbo
source: TBC -TAARIFA YA HABARI SAA MBILI
my take:
:frusty:
Jamani wana jamii hivi ni halali Kwa Mh Chibuda kuwekwa ndani kwa maelekezo ya Kikwete?Habari nilizopata Bw. Chibuda amepewa condition ya kuachiwa nayo ni kujitoa kugombea Ubunge kwa Chadema
Hizo ni njama tu za kutaka kupunguza makali ya CHADEMA. Wanaoanzisha fujo ni CCM wenyewe. Wafanye vyovyote Tanzania mwaka huu ni ya Chadema
Watu waliokuwa wananafuatilia mauaji yaliyOtokea kwenye jimbo la maswa wamepeleka maombi kwenye tume ya uchaguzi kuomba chadema wasimamishwe wasiendelee na kampeni kwenye hilo jimbo
source: TBC -TAARIFA YA HABARI SAA MBILI
my take:
:frusty:
Hii ni hatari. Shibuda anashikiliwa wakati yeye hakuwepo katika eneo la tukio wala hakuna ushahidi kuwa aliwatuma wafuasi wake wafanye yale wanayotuhumiwa kuyafanya. Kuthibitisha kuwa watu hawa ni hatari mbona huyo mgombea wa CCM alimpiga ngwala OCD lakini hakuna hatua iliyochukuliwa.
Hata kama NEC watafanya njama za kumfuta Shibuda bado ana haki ya kwenda mahakamani na kupinga ushindi wa mezani. Kwa kweli Makame, Kiravu na NEC ni watu ambao wanachumia njaa. CCM walibadilisha katiba ili mtu mmoja yaani Jaji Makame aendelee kuwa mwenyekiti wa NEC hata baada ya muda wake kuisha. Walibadilisha sifa za Mwenyekiti na hivyo kumfanya aendelee na kazi hiyo na ndiyo maana Makame na Kiravu wanafanya kile ambacho CCM wanataka.
Aibu mbona aibu!