Sakata la Mbasha mkubwa laanikwa

Sasa wewe unawalaumu kuyapeleka masuala kwenye media, ukijifanya decent kumbe ni mnafiki. Kwa ajili ya nini sasa wewe unayaleta hapa? Unajaribu kuachieve nini katika hili kama siyo kuendeleza uozo uleule?

Unamtetea mbasha kwa kuwachafua watu wengine ili mjustify kitendo alichokifanya. Huwezi kujustify dhambi kwa dhambi ya mtu mwingine unless unaimani ya kuwafurahisha watu. Mtu yeyote mwenye imani ya kumpendeza Mungu, hata kama ni mdhaifu, siku zote ataweka kipimo chake na kujustify njia zake kwa kutumia Neno La Mungu. Kipimo cha utakatifu wake ni Kristo na si binadamu yeyote. Ondoeni upagani wenu kanisani na msiendelee kumdhalilisha Kristo kwa kulitukanisha jina lake makusudi ajili ya ujinga na kushindwa kwenu.

BTW, unawezaje kusema Mbasha hakubaka kwa sababu tu alitembea na yule mtoto mara kadhaa kabla hayajajulikana na watu. Hujui kwamba huyo ni binti wa miaka 17? Tafuta maarifa na uso wa Mungu kabla hujaleta Umbeya wa Kumdhalilisha Kristo hapa.

Nyongeza, huyo Mbasha na wewe, hamjui kwamba Flora alikaa London muda mrefu tu kabla hajaolewa na Mbasha? Inferiority complex na insecurities? Naomba uone aibu kwa majungu na umbeya wako. Kama unamtetea ama kumu accuse Flora ama Mbasha, nenda mahakamani ukatoe ushahidi. Hakuna mwenye ufahamu atakuwa na interest na mambo haya hapa. Hatutaki. Tuna mambo muhiimu na ya maana ya kujadili kuliko kutushirikishwa hila na madhambi yenu.
 
Hivi huu si ndo ule waraka wa mkuu The Bold au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hata blogs maarufu walishaikopy hii habari
ya the bold tulioichangia hapa mimi nikimchoxhea aandike ukweli

Tyta
 
Last edited by a moderator:
hata blogs maarufu walishaikopy hii habari
ya the bold tulioichangia hapa mimi nikimchoxhea aandike ukweli

Tyta

Hahahaha nakumbuka wapenda umbea tulivyokesha siku ile kufatilia story hii... Na uliivalia njuga hii story khaa kama sikosei na wewe ulipata hadi PM za kutokueleweka concerning that issue

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Aaah hii mambo ya papuchi hii inazuaga vya kushanga mpaka unashindwa kushangaa.... Botha alitukana wa-b.lack kwa mifano hiihii... :sleepy: toka Ju.ne 03 ndio nilisomaga story hii.
 
Team gwajima..mambo!msalimieni wana media ministries
 

Hakika wewe ni Gwajima. Ni suala la muda tu ukweli utakuwa wazi. Mungu ns atende sasa watu muaibike
 

Hakika wewe nimmoja wao. Ni suala la muda tu mtaona hasira yake yeye aliye juu
 
Mnatuzingua ..kila siku kila mtu anakuja na drama yake.....aakhh..yaani mmetuona ss mapoyoyo ...ngoja na mimi nitunge stori yangu.
 
Nafuu haya mambo yangetokea wakati Mzee Kulola ni mzima. Wanawake bwana, Flora hakutaka tena ndoa yake na kufanya uamuzi mbaya ila no secret to God na yatadhihirika Siku moja.
 
Watz bwana!!!!!! mda ulitumia kuandika hilo gazeti hauujutii
 

Eti wa watumishi wa Mungu wakati wengi wao ni wezi tu. Na mwingine hapo juu anatetea hawa jamaa kujijengea majumba binafsi kwa sadaka za watu. Shame!!
 
Basi mkiwa mnacopy wekeni source just to appreciate kazi ya mtu....Watu8 Ubarikiwe kwa kutukumbusha..ila Mzee wa Mabebiez atakumind eti "kichwa boga:
 
Hivi huu si ndo ule waraka wa mkuu The Bold au?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndio huo huo,inawezekana jamaa alikuwa jela katoka jana so kila news hata zilipendwa kwake ni mpya kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…