Sakata la Mbasha mkubwa laanikwa

Ndo maan serikali inabidi iingilie kati,makanisa yalipe kodi hamna anchofanya hatoi huduma za jamii kazi kununua mahelcopta... Aende mbali ibilisi huyo kazi kula wake za watu
wewe unaweza kumlipisha Mungu kodi? ujanja huo haupo. hilo fungu la kumi linalotolewa halitolewi tu kiholela kwanza ni agizo la Mungu kwa watu wote wanaomwamini, hicho ni chakula cha makuhani hata wayahudi hawajawahi kutoza kodi hata kaisari mwenyewe kipindi cha Yesu (Yesu aliposema ya kaisari mpeni kaisari ya Mungu mpeni Mungu) didn't include fungu la kumi, huo ni moto ukiiugusa unaungua na utateketea, amini usiamini. ndio maana hata usipotoa unalaaniwa hela yako inaingia mifuko iliyotoboka.
 
wengi hawamfahamu Flora na mumewe na maisha yao before hii kashfa zaidi ya kujua ni waimbaji wa muziki wa injili!...these people,wandugu,wanashangaza mno kama mngejua kila kitu kuhusu mahusiano yao!Mbasha anajua Flora hua anatoka na nani na malipo hua anchukua kabisa...kinda like pimping his wife!!!
Dodoma..ndege ya kukodi...mzee Mengi...Mwanza..milioni kumi...and vibweka vinaendelea!

kinachoonekana sicho kilivyo guyz!
 

Azuza whatever the name is hujasoma btn the lines umekurupuka..... Utaendelea kuwa mjinga hivo hivo
 
Duuuuu tanzania no. Kubwa zaid ya uyajuayo duuu
 

Achana na mavitabu yaliyoletwa na wageni hayo. Kwanza yameleta mfarakano tu, mavitabu yanajipinga yenyewe hata hayaeleweki we undai ndio yameletwa na Mungu!
 

Mungu gani alitandikwa bakora na wayahudi!
 

Sikutaka kuchangia hii thread lakini hapo kwenye wekundu kumenifanya nitake kusema. "Saints of the lord?" Give me a f...ing break. Watu ambao kila mwenye akili anajua kuwa wanawa-manipulate waumini wao na kujilimbikizia mali unawaita watakatifu? Kama tafsiri ya watakatifu ndio hiyo then Mungu amekuwa akitudanganya kwa muda mrefu saana maana kwa muda mrefu imekuwa ikijulikana kuwa mtakatifu ni mtu ambaye amejitolea maisha yake na kuacha mali na anasa za dunia na kumtumikia Mungu na wale wenye uhitaji kama maskini, wagonjwa n.k.

Sisemi kuwa watakatifu hawakuwa na dhambi na udhaifu ( kama tulivyokuja kugundua kuhusu Mama Theresa baada ya kufa) lakini kamwe kuwatumia wale wanaowatumikia kama ngazi ya kuukwaa ukwasi haikuwa sifa yao.Hawa tunaowaona sasa ni wajanja wanaotumia charisma yao kujijengea ukwasi kupitia migongo ya waumini wao.
 
Azuza whatever the name is hujasoma btn the lines umekurupuka..... Utaendelea kuwa mjinga hivo hivo
atakayejua kati yangu mimi na wewe nani ni mjinga, ni third party ambaye sio mjinga, ila mimi na wewe kati yetu hakuna mwenye haki ya kumwita mwingine mjinga, hatuwezi kujitathimini wenyewe kila mtu atavutia upande wake, ndio maana hata mimi pamoja na kwamba wewe unaamini kuwa sio mjinga, ninakuona mjinga na wewe hata kama mimi najijua kuwa si mjinga wewe unaamini mimi ni mjinga, sasa dawa yake ni third party ambaye sio mjinga aje awe hakimu kwa kuangalia vigezo vyenye ushahidi...punguza hasira ndugu.
 
hapo kwenye red tu, pana ku disqualify wewe kuwa na uwezo wa kujua who is a saint of the Lord and who is not. unahitaji mtu mwingine akuelekeze watu wa Mungu ni wa aina gani. vilevile, aliyekwambia kujilimbikizia mali ni dhami nani?ukiwa na mali ni dhambi? cha muhimu ni jinsi hela hizo umezipataje. wewe kama mtumishi wa hekaluni au mhubiri wa kimataifa ukipewa zawadi na watu ukatae au usijilimbikizie wakati una watoto una mke una ndugu? wanauza vitabu vingi sana hao pia vya kikristo wanavyoviandika hela waje wakupe wewe? unaposema wanajilimbikizia au wana manipulate watu je? wewe ulishawahi kuwa manipulated? kama haujawahi basi hujui hata kama huwa wanamanipulate bali unasikia tu story za udaku. ukitaka kujua kama wana manipulate basi wafuate wafanyie cross-examination ili waeleze utajiri wao wameupataje, wakishindwa kujustify basi watukane, ila kabla haujaenda unakuwa hauna uelewa, na unaonekana mbele za watu mtu bure kabisa.
 

Hayo mambo ya propaganda, they are useless, mambo hayo kawaambie wajinga Wenzio. Nat me nat at all Mchungaji wako ni devil mwiba wake za watu
 
Hayo mambo ya propaganda, they are useless, mambo hayo kawaambie wajinga Wenzio. Nat me nat at all Mchungaji wako ni devil mwiba wake za watu
wala usipoteze muda kutoa mapovu, mimi wala sisali kwa gwajima pamoja na kwamba nilishawahi kuhudhuria baadhi ya misa zake kipindi yupo pale ubungo. sijui kama anaiba wake za watu, kwani ameiba mkeo? umechukua hatua gani sasa kama unao ushahidi kuwa amekuibia mke? au ndio kusikia kwenye magazeti ya udaku tu magazeti yanayowagonganisha vichwa ili wakusanye hela kwenu na baadaye wanakuja kukanusha na hela mlishawapa? halafu, unaponiita mimi mjinga, unajua kuwa mimi naamini kuwa binafsi sio mjinga ila wewe ndio mjinga?hahaha, ndio maana nilisema kuwa issue whether mimi ni mjinga au wewe haiwezi kuamuliwa na mimi au wewe bali third party aje atoe hukumu hasa kwa kuangalia ushahidi wa hata namna ya utoaji arguments kwenye discussion na uvumilivu wa kupokea maoni yaliyo kinyume na yale unayoamini. punguza hasira ndugu.
 

Sihitaji mtu mwingine kuniambia watu wa Mungu huwa wanakuwaje, wanajulikana kwa matendo yao. Hao mnaowaita "saints of God" hawamo kwenye hilo kundi. Kujilimbikizia mali sio dhambi? Mkuu inaelekea hujui hata vitu vidogo vya msingi kuhusu dini, nenda kasome maandiko ujue Yesu alikuwa na msimamo gani kuhusu kujilimbikizia mali. Unasema ukiwa mtumishi ukipewa zawadi usikatae? Kwanza usitake kutudanganya kuwa hayo mabilioni wanayoyakusanya hao "saints of God" ni zawadi. Kila mtu anajua kuwa siku hizi kwenye hayo makanisa yenu huduma nyingi ambazo normally ungetemea waumini wazipate bure wanazilipia tena nyingine kwa pesa nyingi tu. Watu wanauza maji ya baraka, mafuta ya upako, maombezi mengine yanalipiwa na mengine mengi tu.

Kuwa na mke na watoto haihalalishi kujilimbikizia mali. Kwani hao waumini wanaowakamua hawana wake/waume na watoto? Inakuwaje wewe unayejiita mtumishi uishi kifalme wakati majority ya waumini wako ni mafukara? Hivi Mama Theresa angetumia mabilioni aliyokuwa akiyapata kujinunulia mali na kwenda kuishi Manhattan kwenye Penthouse watu wangemuita mtakatifu? Hawawezi kuni-manipulate kwa kuwa mimi ni rational thinker, siwezi kuingia kichwa kichwa kwenye kitu ambacho najua kabisa kuwa ni utapeli lakini nina ushahidi kuwa "saints of God" wanatumia vulnerability ya waumini wao walio wengi kujinufaisha.
 

Halafu, the truth will stand whether u like or not, the so called prophet gwajima ni devil in a sheep skin,just period
 
my friend, sikujua kuwa wewe mkatoliki, nitamalizia discussion hapa kwasababu nimeshajua tatizo lako. ni halali muwachukie hawa jamaa kwasababu wanapunguza sana waumini wenu. waumini wenu wanawahi misa za asubuhi za masaa mawili kwenye makanisa yenu ya kikatoliki, wakimaliza wanakimbia makanisa ya kilokole hadi jioni na sadaka wanapeleka kule, ndio ugomvi wenu na haya makanisa. poleni, lakini ndio muda wake. miaka ya kudanganywa na wakatoliki imeisha, mtabaki na viti tu sio muda mrefu.
 

Ni kweli mimi NILIKUWA MKATOLIKI, nimemtumia Mama Theresa kama mfano tu. Kwa sasa sifuati dini yoyote hivyo argument yako kuwa nawakandia "saints of God" kwa sababu ni Mkatoliki sio ya kweli. Hapo kwenye red nakubaliana kabisa na wewe kuwa baada ya miaka mingi ya Kanisa Katoliki ku-screw watu sasa ni zamu ya "saints of God", I rest my case.
 

Hata mda wa watu kudanganywa na the so called prophet gwajima, lwakatare N other like soon utaisha... Mungu ni mwaminifu trust me on that
 
Mungu gani alitandikwa bakora na wayahudi!

Ghosryder;
Sipendi kujibishana na watu wanaotoka nje ya mada. Kama weye unamjua mungu aliyewahi kutandikwa bakora na wayahudi, ni weye miye sijawahi kusikia na kama yupo, huyo ni wa kwako lakini Mungu ninayenena habari zake, Hajawahi kumtuma mtu yeyote na nasema mtu yeyote aujilipue kwa mabomu ati aende akampe wanawake mabikra tena wenye mimacho ka komamamnga. Mungu ka huyo, nachelea kusema ni mzinzi. Sina haja naye. Mahaba huko kuzimu yatanisaidia nini miye??
 
Hadi hapo mtakapoacha kufuata dini ya mzungu, ambayo inachochea ushoga, ulevi, uzinzi hamtokuwa salama ndiyo maana kila leo mnapata nabii mpya , mara gwajima, n.k.
Na mtakapo fuata maandiko ya vitabu vya mungu vizuri na siyo vilivyotungwa na wazungu kwa maslahi yao binafsi.
Hivi ni kitabu gani kilichosema kiongozi wa dini asioe? Au mliamua wenyewe tu
 

Funguka mkuu
 

Kasome injili ya marko......kuwa toashi kwa ajili ya kumtumikia mwenyezi mungu inaruhusiwa....ww biblia unasoma kweli mkuu..ok anyway ucpende xana kukosoa dini za watu...hata kama wanaabudu ng'ombe....waache coz wanakijua wanachokiabudu...out of that na ww utakuwa ni nabii mwingine wa karne hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…