Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

Hizo dalili zitaanzia wapi,polisi wetu wako makini,watazitibu mapema hizo dalili kabla hazijaleta madhara.

Nawaonya chadema na wahuni wenzao wanaopanga kuihujumu serikali ya awamu ya tano,hakika watakipata wanachokitafuta.
 
Tuendelee na ujinga wa kuhubiri ugaidi ugaidi ugaidi, nchi yetu imebarikiwa haina hayo mambo, tunayakuza kwa maneno na kujiombea mabaya, tusingiziane mambo mengine na sio ugaidi, ila aombaye hupewa. Tuache kujitabiria na kujitafutia mabaya.
Hivi wazee wa TISS mpo wapi!? Mpaka tufikie kuchinjana ndio muamke?? Madhara ya chuki zisizo lazima mnayajua?? Wapo Watanzania wengi vijana hawana ajira na wamekata tamaa ya maisha, mwanya vurugu kwao wanadhania ni fursa kwa nyasi mpya malisho.Toeni ushauri makini kwa wakati,fitina tunazopanda kwa taifa hazifai.Tuipende Tanzania yetu,tusisubiri kupewa SoMo na majirani na jumuia za kimataifa.
 
TISS ndo iliyobaini ugaidi wa Mbowe,nawapongeza kwa kazi nzuri,kilichobaki Ni kutangaza kuwa chadema Ni chama Cha kigaidi na baadae kukifuta kabisa kwenye ulimwengu wa vyama vya siasa
 
TISS ndo iliyobaini ugaidi wa Mbowe,nawapongeza kwa kazi nzuri,kilichobaki Ni kutangaza kuwa chadema Ni chama Cha kigaidi na baadae kukifuta kabisa kwenye ulimwengu wa vyama vya siasa
Kashindwa kukifuta ******** aka mwendazake ambaye aliapa ataua upinzani mwisho wa siku akafutika yeye!
 
Si jambo jema kuwabambikia watu kesi. Mungu wetu ni wa HAKI, ipo siku wanaotenda hivyo watakutana na hukumu yake

Mkuu

Sikupenda kuchangia ila ngoja nikupe hii kidogo.

Hakuna mtu aliyebambikiwa kesi, ni kweli

walipanga kulipua vituo vya mafuta nchi nzima.

Au mlidhani kwa vile amekufa basi kila kitu

kimekufa? Acheni hizo mambo aisee!

Shukrani!
 
Hili jambo unaloshadidia hapa ipo siku utalipia gharama zake
 
AMANI YA NCHI NI MUHIMU KULIKO MALAYA WA KISIASA , WANAFIKI NA WACHUMIA TUMBO WA CCM.Lazima ifike sehemu wafe wote na Katiba mpya ipatikane.

Wewe isinge kuwa njaa zako zilizo hamia kichwani ungetumia kichwa badala ya mattako kufikiri

Lugha Yako tu inaonyesha aina ya mtu. Na kama ndo wewe mwanachama kamili wa hicho chama sio shabiki. Hamtapata madaraka kamwe. Hamna Utu wala heshima.
 
kinachoniuma zaid tozo zangu za miamala zinaenda kutumika kwenye kesi za kubambikiwa
bado mishahara ya wabunge ipo juu na hakuna makato yoyote yale...
inshort wameamua kujilipa kutumia miamala yetu
kwel mwenye nacho ataongezewa... 🙏
 
Lugha Yako tu inaonyesha aina ya mtu. Na kama ndo wewe mwanachama kamili wa hicho chama sio shabiki. Hamtapata madaraka kamwe. Hamna Utu wala heshima.
Ha ha ha umeshindwa hoja!Mimi siyo mwanachama chochote Cha siasa ni mpenda haki nchi hii.Shusha siraha chini tubishane kwa hoja.

Sincerely you have the silhouth positive sign you need treatment
 
Mnaandika makaratasi mnajipiga picha mna post kwenye mitandao ingieni road tuone battle na FFU.
Leo haiwezekani kabisa lakini nikuhakikishie kesho itawezekana ni swala la muda tu.Take it from me hata kama utakuwa mzee au umeshakufa lakini itawezekana tu.Ilikuwa hivyo Burundi ,Ilikuwa hivyo Sudan.

Zamani nyara za serikali wananchi walikuwa wanaziogopa sana ,sasa hivi gari hilo hapo kiberiti
 
Wananchi wakihamu siyo Chadema na wanaharakati wao.
 
IPO siku tu.
Screenshot_20210803-223828_1.jpg
 
Yanayoendelea Kuna uwezekano polisi kushindwa kuwamudu wananchi. Kuna zaidi y watu milioni 10 kuingia mitaani
 
Back
Top Bottom