digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hivi wazee wa TISS mpo wapi!? Mpaka tufikie kuchinjana ndio muamke?? Madhara ya chuki zisizo lazima mnayajua?? Wapo Watanzania wengi vijana hawana ajira na wamekata tamaa ya maisha, mwanya vurugu kwao wanadhania ni fursa kwa nyasi mpya malisho.Toeni ushauri makini kwa wakati,fitina tunazopanda kwa taifa hazifai.Tuipende Tanzania yetu,tusisubiri kupewa SoMo na majirani na jumuia za kimataifa.Tuendelee na ujinga wa kuhubiri ugaidi ugaidi ugaidi, nchi yetu imebarikiwa haina hayo mambo, tunayakuza kwa maneno na kujiombea mabaya, tusingiziane mambo mengine na sio ugaidi, ila aombaye hupewa. Tuache kujitabiria na kujitafutia mabaya.
TISS ndo iliyobaini ugaidi wa Mbowe,nawapongeza kwa kazi nzuri,kilichobaki Ni kutangaza kuwa chadema Ni chama Cha kigaidi na baadae kukifuta kabisa kwenye ulimwengu wa vyama vya siasaHivi wazee wa TISS mpo wapi!? Mpaka tufikie kuchinjana ndio muamke?? Madhara ya chuki zisizo lazima mnayajua?? Wapo Watanzania wengi vijana hawana ajira na wamekata tamaa ya maisha, mwanya vurugu kwao wanadhania ni fursa kwa nyasi mpya malisho.Toeni ushauri makini kwa wakati,fitina tunazopanda kwa taifa hazifai.Tuipende Tanzania yetu,tusisubiri kupewa SoMo na majirani na jumuia za kimataifa.
Kashindwa kukifuta ******** aka mwendazake ambaye aliapa ataua upinzani mwisho wa siku akafutika yeye!TISS ndo iliyobaini ugaidi wa Mbowe,nawapongeza kwa kazi nzuri,kilichobaki Ni kutangaza kuwa chadema Ni chama Cha kigaidi na baadae kukifuta kabisa kwenye ulimwengu wa vyama vya siasa
Haki gani hiyo,hakuna haki bila wajibuUnaona siifa kuzuia haki isitendeke.
😆😆😆😆 kwa hiyo chadema wanachezea sharubu za Simba Kisa amelala?
Kwani ubalozi wa Marekani uko Uyole?Hao ni wafuasi wa Sugu....haishangazi.....
Wakazi wa Dar wana mambo mengi ya KUFANYA.....hutowakuta wakiandamana "kipang'ang'a".....
#KaziIendelee
Mnaandika makaratasi mnajipiga picha mna post kwenye mitandao ingieni road tuone battle na FFU.
Si jambo jema kuwabambikia watu kesi. Mungu wetu ni wa HAKI, ipo siku wanaotenda hivyo watakutana na hukumu yake
Hili jambo unaloshadidia hapa ipo siku utalipia gharama zakeMkuu
Sikupenda kuchangia ila ngoja nikupe hii kidogo.
Hakuna mtu aliyebambikiwa kesi, ni kweli
walipanga kulipua vituo vya mafuta nchi nzima.
Au mlidhani kwa vile amekufa basi kila kitu
kimekufa? Acheni hizo mambo aisee!
Shukrani!
AMANI YA NCHI NI MUHIMU KULIKO MALAYA WA KISIASA , WANAFIKI NA WACHUMIA TUMBO WA CCM.Lazima ifike sehemu wafe wote na Katiba mpya ipatikane.
Wewe isinge kuwa njaa zako zilizo hamia kichwani ungetumia kichwa badala ya mattako kufikiri
Waliandamana?
Ha ha ha umeshindwa hoja!Mimi siyo mwanachama chochote Cha siasa ni mpenda haki nchi hii.Shusha siraha chini tubishane kwa hoja.Lugha Yako tu inaonyesha aina ya mtu. Na kama ndo wewe mwanachama kamili wa hicho chama sio shabiki. Hamtapata madaraka kamwe. Hamna Utu wala heshima.
Leo haiwezekani kabisa lakini nikuhakikishie kesho itawezekana ni swala la muda tu.Take it from me hata kama utakuwa mzee au umeshakufa lakini itawezekana tu.Ilikuwa hivyo Burundi ,Ilikuwa hivyo Sudan.Mnaandika makaratasi mnajipiga picha mna post kwenye mitandao ingieni road tuone battle na FFU.
Wananchi wakihamu siyo Chadema na wanaharakati wao.Leo haiwezekani kabisa lakini nikuhakikishie kesho itawezekana ni swala la muda tu.Take it from me hata kama utakuwa mzee au umeshakufa lakini itawezekana tu.Ilikuwa hivyo Burundi ,Ilikuwa hivyo Sudan.
Zamani nyara za serikali wananchi walikuwa wanaziogopa sana ,sasa hivi gari hilo hapo kiberiti