Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.

Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.

Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
 
Sheria ni msumeno, wapuuzi wameingiza siasa kwenye mpira. Jamaa kaonyesha kuwa yuko principled, ubabaishaji wa kipuuzi instead of going by the book ni uswahili usio na maana.
 
BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.

Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.

Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Who cares? Akwende zake
 
Angejiuzulu ingekuwa poa sana.
 
Huo ubini mbona unauhusiano na rwanda
 
Huyo ni wakala wa utopolo, vurugu ifanywe na Yanga , na inaonekana wazi ndo inawanufaisha kwenye mechi halafu mechi isiahirishwe,fair play iko wapi
 
Swali ni moja tu je kwa kanuni zilizoandikwa huko TFF kwao je timu kunyimwa kufanya mazoezi inaruhusiwa kufutwa mechi? kama jibu ni hapana wajumbe wote hawana haki kuendelea kuhudumu kwenye nafasi zao TFF watangaze ajira kwa kusimamiwa na BMT na labda Waziri wa michezo. Watu wamelipa pesa zao, watu wamesafiri kutoka kila Kona ya Dunia huwezi kufanya uhuni tu ila ipite tu.

Huu uhuni uliofanyika na hiyo kamati si bahati mbaya wajumbe wote tupa kule maana imeanzia kwa marefa kuharibu mechi kwa kuipendelea Simba kisa kulazimisha makolo wasiojiweza kisoka wabebe kombe mwaka huu na haitotokea Yanga bingwa tu hata iweje quality of players inaamua mshindi
 
Back
Top Bottom