Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Anatakiwa alivyojiuzulu na kuachia manyanga..afe kabisa..hao ndio wanaratibu ujinga huko kwa lengo la kuiyumiza Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwwli wachawi huwa hawajali loloteWho cares? Akwende zake
Kawaida mtu ambaye hajali huwa hajishughulishi, wewe umefungua uzi umeenda sehemu ya kucomment ukabonyeza kitufe cha reply and yet you are asking that freaky question.Who cares? Akwende zake
🤣🤣🤣🤣Ametoka fesibuku huyo
Anatakiwa alivyojiuzulu na kuachia manyanga..afe kabisa..hao ndio wanaratibu ujinga huko kwa lengo la kuiyumiza Simba
bado yule mzee mwenyekiti wa TPBL na CEO wao Almas kasongoBREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Mechi hakuna. Imeisha hiyoBREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Ata kama ni wakala kanuni ipi imefuatwa kuahirishwa mechi? Ina maana bodi ya ligi kwa sasa inaendeshwa kama genge la wahuni?Huyo ni wakala wa utopolo, vurugu ifanywe na Yanga , na inaonekana wazi ndo inawanufaisha kwenye mechi halafu mechi isiahirishwe,fair play iko wapi
Ata kama ni wakala kanuni ipi imefuatwa kuahirishwa mechi? Ina maana bodi ya ligi kwa sasa inaendeshwa kama genge la wahuni?
Basi msiwe mnapiga mayowe ovyo kwamba mmedhulumiwa haki zenu tutaheshimiana tuMkifanya uhuni hatufuati kanuni na hamwezi kufanya lolote, ubaya ubwela