Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Sheria ni msumeno, wapuuzi wameingiza siasa kwenye mpira. Jamaa kaonyesha kuwa yuko principled, ubabaishaji wa kipuuzi instead of going by the book ni uswahili usio na maana.BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Who cares? Akwende zakeBREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Hataki ujinga na dhulma za waziSasa imemsaidia nini!?
Sio siasa tu,na uchawi pia.Sheria ni msumeno, wapuuzi wameingiza siasa kwenye mpira. Jamaa kaonyesha kuwa yuko principled, ubabaishaji wa kipuuzi instead of going by the book ni uswahili usio na maana.
Angejiuzulu ingekuwa poa sana.BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
Jamani, great thinker huyu anahoji. Dah, Tanzania hii haki ya mama imekwama. MwanaJF ndo amefikia hapa?!!Sasa imemsaidia nini!?
Huo ubini mbona unauhusiano na rwandaBREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi.
Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja hakuridhishwa na sababu Nyepesi za kuahirisha mechi hiyo na kuvunja kanuni kwa makusudi.
Ndugu Filimon Ntahilaja Rasmi sasa ameamua kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi kwenye mpira wa Tanzania.
We ulivokaaa apoo kwa shemeji yako unagombania remote umemsaidia chochote?.!Sasa imemsaidia nini!?
Swali ni moja tu je kwa kanuni zilizoandikwa huko TFF kwao je timu kunyimwa kufanya mazoezi inaruhusiwa kufutwa mechi? kama jibu ni hapana wajumbe wote hawana haki kuendelea kuhudumu kwenye nafasi zao TFF watangaze ajira kwa kusimamiwa na BMT na labda Waziri wa michezo. Watu wamelipa pesa zao, watu wamesafiri kutoka kila Kona ya Dunia huwezi kufanya uhuni tu ila ipite tu.Huyo ni wakala wa utopolo, vurugu ifanywe na Yanga , na inaonekana wazi ndo inawanufaisha kwenye mechi halafu mechi isiahirishwe,fair play iko wapi
Ametoka fesibuku huyoJamani, great thinker huyu anahoji. Dah, Tanzania hii haki ya mama imekwama. MwanaJF ndo amefikia hapa?!!