Sakata la mfanyabiashara Shamy kulikimbia Jiji la Dar: Nani alaumiwe?

Sakata la mfanyabiashara Shamy kulikimbia Jiji la Dar: Nani alaumiwe?

Sisi tulio kibondo, huyo Shamy ni nani
 
Sijui Unazungumzia nn ila nimesikitika sana
 
Kwa niliyosikia ya upande mmoja. Huyo shami hana shida wala kampuni yake, hapo alaumiwe mtu mkubwa, analeta ukubwa kuonea watu.
Kamanda MULI yeye analinda kibarua chake kisiote nyasi, Makamanda wanatumika vibaya. Ndio maana ni ngumu kupata haki yako taifa hilo la tanzaGIZA.
 
makamanda nadhani wapo juu ya sheria
ni wanaonea watu sana. zamani nilidhani askari wadogo ndo waonevu
kuna matukio ya karibuni yanaonyesha hatuko salama
 
Alaumiwe nani?
1. Shamy?

2. Kampuni ya Shamy?

3. Kampuni iliyoingia naye mkataba?

4. Afande Muliro?

5. Mtu "mkubwa"?

Lawama zielekezwe kwa nani?

View attachment 2924905
View attachment 2924906
Jeshi letu limejaa rogue forces kibao, wakubwa wanalitumia kukandamiza watu, kama hujawahi kuingia kwenye mikono ya polisi, utapinga, polisi, yetu Bora mkoloni, tofauti ya polisi na majambazi na vibaka, ni kwamba polisi ni majambazi yalitoruhusiwa na sheria kubeba siraha!
 
Back
Top Bottom