GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Jeshi letu limejaa rogue forces kibao, wakubwa wanalitumia kukandamiza watu, kama hujawahi kuingia kwenye mikono ya polisi, utapinga, polisi, yetu Bora mkoloni, tofauti ya polisi na majambazi na vibaka, ni kwamba polisi ni majambazi yalitoruhusiwa na sheria kubeba siraha!Alaumiwe nani?
1. Shamy?
2. Kampuni ya Shamy?
3. Kampuni iliyoingia naye mkataba?
4. Afande Muliro?
5. Mtu "mkubwa"?
Lawama zielekezwe kwa nani?
View attachment 2924905
View attachment 2924906
Mfanyabiashara aliyegoma "kuburuzwa" na wakubwa.Sisi tulio kibondo, huyo Shamy ni nani
Mkuu, huyo unayemuhisi hana hizo "njaa".m2 mkubwa/m2 mnene/m2 mwenye cheo kikubwa namba........''kwa mawazi,,,,,,,,mzaliwa wa lindi