Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kwa kweli kwa namna suala la kocha mpya wa Simba kudaiwa hana vyeti wakati sio kweli huku wanaojiita wachambuzi wakiliongelea jambo hilo kwa kutokwa na mapovu, limetia doa kubwa sana tasnia ya habari.
Aliyeanza ujinga huo ni mwandishi wa gazeti moja la michezo nchini, basi jambo likatrend mno, huko mitaani watu wakafikia hatua ya kutaka kupigana, wapo waliouponda uongozi wa Simba na kuna waliokataa wakisema Simba haiwez kuingia mkenge kwa Mgunda.
Hivi waandishi wa habari mlishindwa nn kumtafuta Mgunda? Simu yake mnayo, mnajua anavyopatikana lkn mkaweka pembeni yote ili tu kumdhalilisha Mgunda.
OK, vijana weng wanaoshabikia mpira wakiwemo hao waandishi hakuna hata mmoja aliewahi akimuona Mgunda anacheza soka, pale coastal Union.
Sinunui tena magazeti ya michezo kuanzia leo, pumbavu