Sakata la Mgunda limefedhehesha taaluma ya habari nchini, Sitonunua tena magazeti ya michezo

Sakata la Mgunda limefedhehesha taaluma ya habari nchini, Sitonunua tena magazeti ya michezo

Sikia we kilaza
Hiyo orodha ya makocha wazawa wanaotambulika kuwa wanazo leseni A za CAF ndo kwanza imetoka leo mchana.

NB: Wanatambulika tu ila vyetu hawana. Kama vile mtu anakuwa anatambulika kuwa kamaliza form IV lkn cheti bado hajapata
Hii nchi hii[emoji1787]
 
Waandishi uchwara wa michezo ni wengi sana kina Kitenge Priva Kishanba. Hawana maadili kabisa. Huruhusiwi kutoa habari bila kuthibitisha chanzo na pande zote za habari sources. Wapumbavu nchi hii wanaongezeka kwa kasi sanaa
 
Maulid kitenge ndo anayeeneza uvumi wote huu na sio mala ya kwanza
Kitenge kaanza siku nyingi kuichafua Simba ila ajue mwisho wake utakuwa mchungu. Huwezi ukahujumu mamilioni ya wana Simba nchi nzima na ukabaki salama.
FB_IMG_1629179437509.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hili gazeti la Mwanaspoti kwa sasa liwe la kufungia vitumbua na mihogo tu.
Yaani hata uandishi wake kwa siku hizi umekuwa wa kitoto mno.
Hii taaluma imevamiwa na makanjanja.

Halafu na nyie wanahabari wa Tanzania (baadhi yenu) kwa nini mnashindwa kutafuta taarifa iliyokamilika kabla hamjalisha walaji wenu?. Hamjui ya kwamba mnapotoa taarifa za uongo mnawamislead wasikilizaji na watazamaji wenu na hatimae mnakosa credibilty. Imagine yule bwamdogo wa Azam TV alishaanza kujenga jina lake fresh tu lakini kwa tukio hili la Mgunda kuna wanaomuona kuwa naye ni miongoni mwa wapuuzi tu.

Hebu jifunzeni kuwa wanahabari na siyo watangazaji!!!
 
Waandishi wengi wa kibongo wamezoea bahasha ndo maana wanashindwa kutafuta habari sahihi
 
Waandishi wengi na wanaojiita wachumbuzi washakua hawana akili zimebaki za kwenda na matukio wanajua wakiandika negative za watu watawapata majuha yenye kuamini kila kitu bila kutumia ubongo na ya kawasapoti.
 
Back
Top Bottom