Sakata la Mgunda limefedhehesha taaluma ya habari nchini, Sitonunua tena magazeti ya michezo

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Kwa kweli kwa namna suala la kocha mpya wa Simba kudaiwa hana vyeti wakati sio kweli huku wanaojiita wachambuzi wakiliongelea jambo hilo kwa kutokwa na mapovu, limetia doa kubwa sana tasnia ya habari.

Aliyeanza ujinga huo ni mwandishi wa gazeti moja la michezo nchini, basi jambo likatrend mno, huko mitaani watu wakafikia hatua ya kutaka kupigana, wapo waliouponda uongozi wa Simba na kuna waliokataa wakisema Simba haiwez kuingia mkenge kwa Mgunda.

Hivi waandishi wa habari mlishindwa nn kumtafuta Mgunda? Simu yake mnayo, mnajua anavyopatikana lkn mkaweka pembeni yote ili tu kumdhalilisha Mgunda.

OK, vijana weng wanaoshabikia mpira wakiwemo hao waandishi hakuna hata mmoja aliewahi akimuona Mgunda anacheza soka, pale coastal Union.

Sinunui tena magazeti ya michezo kuanzia leo, pumbavu
 
Sikia we kilaza
Hiyo orodha ya makocha wazawa wanaotambulika kuwa wanazo leseni A za CAF ndo kwanza imetoka leo mchana.

NB: Wanatambulika tu ila vyetu hawana. Kama vile mtu anakuwa anatambulika kuwa kamaliza form IV lkn cheti bado hajapata
 
Kutokuwa na cheti ni kosa la mwanafunzi ama taasisi ya kutoa cheti. Kama CAF ndiyo wenye mashindano na wao ndiyo hawajatoa Cheti, Mgunda au Simba kosa lao lipi?
 
Wewe ndiyo kilaza..hao waandishi wa habari kabla ya kutoa hiyo habari yao wangemuuliza mhusika ili kubalance story..waandishi wengi ni makanjanja wamekimbilia kutoa habari kwa upande mmoja..au na wewe umo..KILAZA
 
Kumbe bado ulikuwa unanunua utopolo huo?
Ila watu mna mioyo tofauti sana!
Kumbe ndio maana matapeli hawataisha kwa vile bado kuna wateja wao wengi sana
Hivi nchi hii bado kuna wanaonunua magazeti!!!!
 
Kosa ni kutokuwa na cheti
Mwenye kutaka hicho cheti si ni CAF, na si ndiyo wao wanaotoa Cheti na pia wao si ndiyo wenye hayo Mashindano? Wewe umesikia CAF wakisema kuwa Mgunda hana cheti?

Kiundashi wa Habari, CAF ndiyo chanzo cha habari cha kutegemeka (Reliable source) na ndiyo chanzo cha habari cha kuaminika (Authoritative source). Habari ya cheti cha Mgunda kama haijatoka CAF, basi huo utakuwa ni ushambenga wa mitaani tu, unapaswa kupuuzwa!!
 
Mkuu mbona hilo kitambo nilishalisema hapa
Tangu waliposhindwa kutoa ufafanuzi kwa nn AZAM haianzi hatua ya awali nikaona pale hakuna wachambuzi.
 
Sikia we kilaza
Hiyo orodha ya makocha wazawa wanaotambulika kuwa wanazo leseni A za CAF ndo kwanza imetoka leo mchana.

NB: Wanatambulika tu ila vyetu hawana. Kama vile mtu anakuwa anatambulika kuwa kamaliza form IV lkn cheti bado hajapata
Sasa wewe kwenye kamusi sehemu ya msamiati "kilaza" wameweka picha yako. Kwa hiyo wewe huwa ukienda kazini kila sikununaenda na vyeti vyako?
 
Hawa waandishi na wachambuzi wapo kibiashara! hivyo wakisikia kitu pasipo hata uchunguzi wananza kuropoka kama Manara... halafu yakiwafikq shingoni utaskia tulikuwa tunataka tff wajitokeze!.... Yaan uchambuzi wa mpira ni biashara haramu!
 
Sikia we kilaza
Hiyo orodha ya makocha wazawa wanaotambulika kuwa wanazo leseni A za CAF ndo kwanza imetoka leo mchana.

NB: Wanatambulika tu ila vyetu hawana. Kama vile mtu anakuwa anatambulika kuwa kamaliza form IV lkn cheti bado hajapata

Wewe nafikiri hupaswi kumuita muanzisha uzi kilaza bali ni wewe mwenyewe. Ukiachilia mbali mashabiki wa utopolo ambae huwez kuwalamu kwa sababu ni majuha tu, issue ni vyombo vya habari kwa nini wasingefuatilia kwanza kabla ya kusambaza habari ambayo haina uthibitisho, haijafanyiwa uhakiki nk? Ukweli ni kwamba jambo lilichukuliwa kiushabiki wa Simba vs Yanga kuliko uhalisia wa kiutafiti na uchunguzi wa habari yenyewe.
 
Kutokuwa na cheti ni kosa la mwanafunzi ama taasisi ya kutoa cheti. Kama CAF ndiyo wenye mashindano na wao ndiyo hawajatoa Cheti, Mgunda au Simba kosa lao lipi?
Bado unaendeleza upumbavu wenu.
Hapa hoja ni kuwa hana cheti regardless nani mhusika wa kutoa hicho cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…