King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Boss wake lazima povu litamtoka
Mbona lugola boss mkuu amekunywa
Wametenguliwa kwasababu amepatikana au kwasababu alitekwa?
Wakati wa Mungu si mwanadamu,Japo wangepewa haki ya kugawa pumzi wallahi hakuna angebaki kwa roho zao kama kobokoItakuwa ni kwa sababu amepatikana [emoji38][emoji38]
Walimuaibisha dingi kwa kufanya mission ya kichekecheachekechea
Kwani kawapiga wenzieMagogono hawajapenda jamaa kwenda kunywa chai kwa kina Mo.
Na inasemekana kuna mpunga kauminya kutoka kwa kina Dewji