BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Morrison akisema hana hiyo fedha?
Kaka yake Mo ni nani labda,mpaka unamuweka hapa kama authority?Kaka yake MO niliwahi msikia akishauri huyo mchezaji kuwa hafai kabisa kusajiliwa na timu yake,ila kwasababu ya mambumbumbu wengi msimbazi (Rage),walidhani wanaikomoa Yanga,saizi hawasaidii maana hachezi na makesi hayaishi,mastress kibao.......mara vidole.....walidhani atawasaidia saizi anawapanda vichwani kabisa
Waulize Simba wenzio maana wanamjua sponsor wao wa zamaniKaka yake Mo ni nani labda,mpaka unamuweka hapa kama authority?
Hakuna kitu kama hicho...mlalamikaji anatoa pesa yote...akishinda kesi anarudishiwa cost zake utaratibu upo hivyo hata Mahakama za kawaida.Kesi itasikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na ushahidi wa upande mmoja on top of that mtuhimiwa atabidi kuheshimu hukumu kwa kupenda au kwa lazima.
Sponsor wa zamani? anakuwaje mshauri kwenye masuala ya ufundi sasa? ndo mana nikakuuliza unamtumiaje huyo kama authority kwenye suala la kupinga usajili?Waulize Simba wenzio maana wanamjua sponsor wao wa zamani
Huwezi kuelewa nilichozungumza kama ndiyo kwanza umepata smartphone hivi karibuni......Sponsor wa zamani? anakuwaje mshauri kwenye masuala ya ufundi sasa? ndo mana nikakuuliza unamtumiaje huyo kama authority kwenye suala la kupinga usajili?
Futa upumbavuu, em jaribu kutafuta kitu kuhusu Ex parte Judgement we kenge.Hakuna kitu kama hicho...mlalamikaji anatoa pesa yote...akishinda kesi anarudishiwa cost zake utaratibu upo hivyo hata Mahakama za kawaida.
Ni kweli nimepata Smartphone juzi tu hapa,bt miaka yote hiyo nilikua na access na computer...kama unakumbuka kipindi cha Muziki motomoto pale channel ten sisi ndo tulikua wadau wakuomba nyimbo through emails,unajua miaka gani hiyo?...na wala tulikua hatutambui gmail mambo ilikua hotmail au yahoo...Huwezi kuelewa nilichozungumza kama ndiyo kwanza umepata smartphone hivi karibuni......
mkuu tumia lugha za kistaarabu basi,as sijakutamkia neno lolote baya.Futa upumbavuu, em jaribu kutafuta kitu kuhusu Ex parte Judgement we kenge.
Zari hans papa dewji....Kaka yake Mo ni nani labda,mpaka unamuweka hapa kama authority?
Swali lina pande mbili hilo mkuu...au kwa lugha ya bungeni wanasema lina sehemu "A" na "Be".Zari hans papa dewji....
Yanga haina shida na mhuni huyo...ila Yanga wanna shida na Sinba na TFFUmewaza kama Mimi
Ni kupoteza pesa tu
Simba watamlipiaMorrison akisema hana hiyo fedha?
Nina wasiwasi na taarifa ya mwakalebela japo mie ni yanga,nadhani yanga wanacheza kitu kinaitwa mibd game kuwamaliza simba na morrison mwenyewe,tusubiriUongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuhusu maendeleo ya kesi waliyofungua dhidi ya winga wao wa zamani Bernard Morrison.
Akizungumza mapema leo kutoka jijini Mbeya, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema kesi hiyo itasikilizwa katika Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa michezo (CAS) na tayari imepangiwa Jaji
Mwakalebela amesema baada ya Yanga kuwasilisha malalamiko yao CAS, Morrison alitakiwa kujibu malalamiko hayo na juzi Yanga imepokea barua kutoka CAS ikiwataarifu kuwa majibu aliyotoa Morrison hayana mashiko na hivyo wanapaswa kulipia pesa za Kifaransa franc 12,000 ili kesi hiyo inze kusikilizwa
Malipo hayo yanapaswa kufanyika kabla ya Januari 12 2021 ambapo pande zote zimetakiwa kulipa kiasi hicho cha fedha
"Yanga tulipeleka malalamiko Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa michezo (CAS) kupinga maamuzi ya kubatilisha mkataba wa Bernard Morisson na Yanga yaliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF"
"Morrison alitakiwa kujibu malalamiko yetu na juzi tumepokea barua kutoka CAS iliyotutaarifu kuwa majibu yaliyotolewa na Morrison hayana mashiko na kwamba shauri letu litapangiwa Jaji wa kuendelea kulisikiliza"
"Hadi kufikia Leo hii, Jaji ameshapatikana, Morrison na Yanga sote kila mmoja tunapaswa kulipa Franc 12,000 tayari shauri hilo kuanza kusikilizwa"
"Tarehe ya mwisho ya fedha hizo kulipwa ni Januari 12 2021, sisi kama walalamikaji tutalipa fedha hizo ili shauri lisikilizwe", alisema Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga.
31,000,000tshsFranca 12,000/= ni sawa na shilingi ngapi za kibongo bongo?
Na Simba ikisema haina hiyo fedha?Simba watamlipia
Ni sheria gani hiyo inayomnyima haki mtu asiye na fedha na kumpa haki aliyenazo?Kesi itasikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na ushahidi wa upande mmoja on top of that mtuhimiwa atabidi kuheshimu hukumu kwa kupenda au kwa lazima.