Sakata la Morrison Kinachoendelea

Sakata la Morrison Kinachoendelea

Kaka yake MO niliwahi msikia akishauri huyo mchezaji kuwa hafai kabisa kusajiliwa na timu yake,ila kwasababu ya mambumbumbu wengi msimbazi (Rage),walidhani wanaikomoa Yanga,saizi hawasaidii maana hachezi na makesi hayaishi,mastress kibao.......mara vidole.....walidhani atawasaidia saizi anawapanda vichwani kabisa
Kaka yake Mo ni nani labda,mpaka unamuweka hapa kama authority?
 
Sponsor wa zamani? anakuwaje mshauri kwenye masuala ya ufundi sasa? ndo mana nikakuuliza unamtumiaje huyo kama authority kwenye suala la kupinga usajili?
Huwezi kuelewa nilichozungumza kama ndiyo kwanza umepata smartphone hivi karibuni......
 
Hakuna kitu kama hicho...mlalamikaji anatoa pesa yote...akishinda kesi anarudishiwa cost zake utaratibu upo hivyo hata Mahakama za kawaida.
Futa upumbavuu, em jaribu kutafuta kitu kuhusu Ex parte Judgement we kenge.
 
Huwezi kuelewa nilichozungumza kama ndiyo kwanza umepata smartphone hivi karibuni......
Ni kweli nimepata Smartphone juzi tu hapa,bt miaka yote hiyo nilikua na access na computer...kama unakumbuka kipindi cha Muziki motomoto pale channel ten sisi ndo tulikua wadau wakuomba nyimbo through emails,unajua miaka gani hiyo?...na wala tulikua hatutambui gmail mambo ilikua hotmail au yahoo...

Au we ndo umejua internet baada ya ujio wa Tecno na takataka nyenza?
 
Futa upumbavuu, em jaribu kutafuta kitu kuhusu Ex parte Judgement we kenge.
mkuu tumia lugha za kistaarabu basi,as sijakutamkia neno lolote baya.

Kabla hujafika kwenye experte judjment...nani anatakiwa kugharamia kesi? is it mlalamikaji au mlalamiwa? as simple as that, maana judjement ni kitu cha mwisho hizo cost ni mwanzo tu mkuu.
 
Mie ningeomba tu ndan ya sikukuu hii ya leo wanasheria wanisaidie kitu kuhusu hili la mlalamikaji na mlalamikiwa kutakiwa kulipia gharama ya kesi ili wadaj waweze kuchangia vzr kwenye huu uzi.

cc; Gentamycine.
 
Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa taarifa kuhusu maendeleo ya kesi waliyofungua dhidi ya winga wao wa zamani Bernard Morrison.

Akizungumza mapema leo kutoka jijini Mbeya, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema kesi hiyo itasikilizwa katika Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa michezo (CAS) na tayari imepangiwa Jaji

Mwakalebela amesema baada ya Yanga kuwasilisha malalamiko yao CAS, Morrison alitakiwa kujibu malalamiko hayo na juzi Yanga imepokea barua kutoka CAS ikiwataarifu kuwa majibu aliyotoa Morrison hayana mashiko na hivyo wanapaswa kulipia pesa za Kifaransa franc 12,000 ili kesi hiyo inze kusikilizwa

Malipo hayo yanapaswa kufanyika kabla ya Januari 12 2021 ambapo pande zote zimetakiwa kulipa kiasi hicho cha fedha

"Yanga tulipeleka malalamiko Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa michezo (CAS) kupinga maamuzi ya kubatilisha mkataba wa Bernard Morisson na Yanga yaliyotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF"

"Morrison alitakiwa kujibu malalamiko yetu na juzi tumepokea barua kutoka CAS iliyotutaarifu kuwa majibu yaliyotolewa na Morrison hayana mashiko na kwamba shauri letu litapangiwa Jaji wa kuendelea kulisikiliza"

"Hadi kufikia Leo hii, Jaji ameshapatikana, Morrison na Yanga sote kila mmoja tunapaswa kulipa Franc 12,000 tayari shauri hilo kuanza kusikilizwa"

"Tarehe ya mwisho ya fedha hizo kulipwa ni Januari 12 2021, sisi kama walalamikaji tutalipa fedha hizo ili shauri lisikilizwe", alisema Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga.
Nina wasiwasi na taarifa ya mwakalebela japo mie ni yanga,nadhani yanga wanacheza kitu kinaitwa mibd game kuwamaliza simba na morrison mwenyewe,tusubiri
 
Kesi itasikilizwa upande mmoja na hukumu itatolewa kulingana na ushahidi wa upande mmoja on top of that mtuhimiwa atabidi kuheshimu hukumu kwa kupenda au kwa lazima.
Ni sheria gani hiyo inayomnyima haki mtu asiye na fedha na kumpa haki aliyenazo?
 
Back
Top Bottom