Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #21
Kongole mkuu Kalamu kwa mchango wako. Tunasubiri mwingozo wako kujua nini kifanyike kutoka hapa tulipofikaNi mada iliyoshiba vizuri sana hii. Pongezi kwako mkuu 'Stuxnet' na mkuu 'min-me'.
Nitachangia mawazo nionavyo mimi hapo baadae.
Ila sikubaliani moja kwa moja na maneno yaliyotumika katika mistari hii: Nitaeleza kwa nini sikubaliani na maneno hayo.
Baadae kidogo.