sakata la msanii matonya kutekwa na kufanyiwa kitu mbaya na watoto wa mjini chanzo kikiwa deni

sakata la msanii matonya kutekwa na kufanyiwa kitu mbaya na watoto wa mjini chanzo kikiwa deni

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya usiku wa kuamkia Jumatatu alionja joto ya kiwe baada ya kutekwa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu pamoja na gari yake.
matonya.jpeg



Mwanamuziki huyo akiwa kwenye viunga vya Club ya usiku ya Kibo iliyopo Tegeta Jijini Dar pamoja masisita du wakila bata ghafra kundi la watu watano lilimvamia na kumkamta msobe msobe hadi nje ya ukumbi pamoja na kumrukisha kichurachura huku wakina dada waliokuwa wamendamana nao wakilia kwa uchungu kwa kumuonea huruma.

Habari zaidi toka kwa chanzo chetu kilichoshuhudia timbwiri hilo kilisema kuwa chanzo cha tukio hilo ni kudaiwa kwa Matonya na mtoto wa mjini aliyefahamika kwa jina la Evance" Huyu Evance ni mtoto wa mjini na huwa anawakopesha pesa wanamuziki mbalimbali pamoja na wasanii wa bongo movie hivyo miezi ya hivi karibuni alimkopesha shilingi laki nne msanii huyo kwa madai kuwa hakuwa na pesa ya kula bata wikiendi ambapo baada ya kumkopesha msanii alianza kuzungusha kurudisha hali iliyomfanya Evance kuchukua hatua za kumfanyia unyambilisi huo" Kilisema chanzo chetu

Hata hivyo baada ya kumkamata msanii huyo Evance alimpelekwa Oysterbay ambapo aliiacha gari na simu kwa makubaliano atakapoleta pesa hiyo atapewa gari yak
 
Laki 4 unakopa halafu waenda kula bata!!!!!!!!

tatizo akitoka uwa na kampan nyingi za mademu ata 5 wote wanaitaj kunywa pombe na misosi. hiyo laki 4 ndogo.

ukisoma apo utaona hao mademu walilia sana tonya boy aliporukishwa kichura chura na hizo njemba baunsa 5
 
Dyuuuu.......Masikini TonyaBoy!!
Ajifunze Lakini.....
 
Nilipoona kafanyiwa kitu mbaya roho ikapaa
 
mwanamuziki nyota wa muziki wa kizazi kipya usiku wa kuamkia jumatatu alionja joto ya kiwe baada ya kutekwa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu pamoja na gari yake.
matonya.jpeg



mwanamuziki huyo akiwa kwenye viunga vya club ya usiku ya kibo iliyopo tegeta jijini dar pamoja masisita du wakila bata ghafra kundi la watu watano lilimvamia na kumkamta msobe msobe hadi nje ya ukumbi pamoja na kumrukisha kichurachura huku wakina dada waliokuwa wamendamana nao wakilia kwa uchungu kwa kumuonea huruma.

habari zaidi toka kwa chanzo chetu kilichoshuhudia timbwiri hilo kilisema kuwa chanzo cha tukio hilo ni kudaiwa kwa matonya na mtoto wa mjini aliyefahamika kwa jina la evance" huyu evance ni mtoto wa mjini na huwa anawakopesha pesa wanamuziki mbalimbali pamoja na wasanii wa bongo movie hivyo miezi ya hivi karibuni alimkopesha shilingi laki nne msanii huyo kwa madai kuwa hakuwa na pesa ya kula bata wikiendi ambapo baada ya kumkopesha msanii alianza kuzungusha kurudisha hali iliyomfanya evance kuchukua hatua za kumfanyia unyambilisi huo" kilisema chanzo chetu

hata hivyo baada ya kumkamata msanii huyo evance alimpelekwa oysterbay ambapo aliiacha gari na simu kwa makubaliano atakapoleta pesa hiyo atapewa gari yak

naomba niwe wa mwisho kuamini habari hii.

Samahani lakini.
 
Tumewaambia wasikope kwa ajili ya kula bata na kuonesha ufahari wao hawasikii wanajiona wapo juu nasema hivi TUMECHOKA NA WAPIGWE TU
 
tatizo la wabongo wanapenda sana kuigiza maisha ambayo si yao kiuhalisia , wanapenda sana sifa na kujionesha ufahari.
 
Back
Top Bottom