sakata la msanii matonya kutekwa na kufanyiwa kitu mbaya na watoto wa mjini chanzo kikiwa deni

hata mimi moyo ulienda mbaaali nikajua mchezo wangu duh
 
Huyu dogo ana historia ya kutokua mwaminifu na dhulma ana ujanja wa kizamani,hii inaweza kuwa incident kama ya tano naiskia ya kurusha hela za watu

1.lady jaydee hela ya show ya joto hasira
2.kuna dogo ana print fulana alimpa fulana za kushoot video hakulipa
3.Songea alikamatwa stand anataka kukimbia bila kufanya show baada ya kupewa hela
4.Aliwadhulumu wale ma dancer washind wa dance mia mia waliofanya naye video ya "shika kamata chinja kabisa"
 
Bora angetumia na kampani ya kiume wangemsaidia kulipa hata kwa kumchangia.sasa yeye anakusanya mademu!! sasa wamelia kilio cha shibe wakati wameshatafuna pesa na msaada hawajampa.

wajinga ndo wanaoliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…