habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Hahahaha mkuu acha ujingaUkitaka kuona namna taifa lilivyochanganyikiwa anza kuona ndoa za watu wake!
sheria gani hiyo mkuu nikaipitie mara moja kwa manufaa ya baadae.Hapana mkuu, lakini ni kisheria mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni wako, bila kujali kama wewe ndiye biological father au laa
kweli kwa asilimia miaAisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
Due! Huyu Dada kama yote haya niyakweli...Mungu atamlipia tukama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Tatizo tunaangalia chura sheikh wangu....kumbe ata ambiance chura wamejaa...wanaume tukiushinda mtihan wa chura tutakuwa na aman ya milelewHuyo Muna Malaya Mbwa tu, hili liwe fundisho kwetu wanaume, unapoamua kuoa zingatia aina ya mwanamke unayetaka kujenga naye familia. Hawa malaya wa Bongo Mav* wanaweza kukatisha maisha yako.
Presumption of paternity Mkuusheria gani hiyo mkuu nikaipitie mara moja kwa manufaa ya baadae.
Yeah, na Mimi ndivyo ninavyoelewa hivi, so hapa peter Zakalia sio mjinga anajua anachokifanyaHapana mkuu, lakini ni kisheria mtoto akizaliwa ndani ya ndoa ni wako, bila kujali kama wewe ndiye biological father au laa
Mkuu umehamaki sanaHuyo Muna Malaya Mbwa tu, hili liwe fundisho kwetu wanaume, unapoamua kuoa zingatia aina ya mwanamke unayetaka kujenga naye familia. Hawa malaya wa Bongo Mav* wanaweza kukatisha maisha yako.
Nimesema sheria nikimaanisha Statutory Acts; sio principles;Presumption of paternity Mkuu
Hapana. Ni matokeo ya tendo la ndoa kati ya Mwanaume na Mnanamkehaya ni matokeo ya zinaa!
Sure, kuna kitu kinaitwa Presumption of paternity kwa wanaojua sheria watakuwa wanaelewa, a man is "presumed to be" a child's biological father without additional supportive evidence, usually as a result of marriage.Yeah, na Mimi ndivyo ninavyoelewa hivi, so hapa peter Zakalia sio mjinga anajua anachokifanya
Mkuu mimi si mwanasheria lakini najua wapo wanasheria humu, hicho kipengele kinasema a man is "presumed to be" a child's biological father without additional supportive evidence, usually as a result of marriage. Sasa iko kwenye sheria gani au kifungu gani sijui, labda wataalamu watusaidieNimesema sheria nikimaanisha Statutory Acts; sio principles;
Muna ni kizibo ...na ameokoka kinafiki ....mwanamke ana roho ngumu yuleee ...nimemsikiliza yule baba anatia huruma ....inaonekana muna alimuweka part kama kitega uchumi ....ila sisi wanawake mungu anatuonakama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Usiogope Mkuu Mende Msafi, tumeambiwa tuishi nao kwa akiliHivi ni moja ya vitu vinavyofanya kila nikiwaza kuoa nywele zinasisimka kama vile nimepita sahemu ya kutisha.