Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Muna ni lidada la mjini, hapo limeshapiga hela na Steve kwa kuchangisha ramba ramba...halijali sintofahamu iliyopo wala heshima ya utu na ndoa na nafasi ya baba mzazi. hata km waliachana...aliyekuzalisha kakuzalisha na huna haki tuuu.
japo steve ana mambo yake....lkn hapa umemuonea ndugu!
 
Muulize Le Mutuz ni kwa nini kambia child support Marekani ndio utajuwa maana ya ndoa ni nini na maana ya birth certificate ni nini, wewe jamba jamba tu hapa JF.
Birth certificate???????

Hiyo wewe ndiyo unaitaja ila anayejiita baba wa huyo mtoto anaonyesha cheti cha ndoa na picha za harusi kuwa ni evidence zake kuwa mtoto ni wake.
 
Not to that extent. Usijitie 'umama' kiasi cha kulia machozi kwenye send off ya dadaako...utawaacha walimwengu midomo wazi kwa huo unaouita ukamilifu.

Somewhere kwenye hii riwaya yako umeandika 'machozi, jasho na damu vinachuruzika'. Kama nikikuuliza nani kati ya wahusika wa jambo lenyewe hili anatoka jasho, achilia mbali damu, sijui kama utamtaja. Ni harakati za kutafuta umaarufu za hao wahusika, ambazo ni sehemu ya kawaida ya maisha yao...wewe unaumia kwa uhusika upi kama sio kujitoa machozi ya hisia kwa msaada ya vitunguu?
Mama wa mtoto yuko Instagram "anachamba" na simu yake imeflot rambirambi zingine zinagoma mpaka atowe zilizopo.

Kuna wakati tukiweka siasa pembeni Magufuli ni Rais sahihi tulie naye kwa aina ya mijitu ya hovyo iliyojaa nchi hii, njia pekee ya kuirudisha kwenye mstari ni kuwabinya kwelikweli kiasi kwamba kila mtu atamani kuwa mlokole jinsi dhiki zitakavyowaandama. Kwa hili huwa namuunga mkono Magufuli ndiye Rais sahihi kwa mahitaji ya wakati na atakapoanza kuwatandika viboko watu wazembe kule ikulu mishipa ya fahamu ya wajinga wote itazibuka.
 
😀😀😀
 
Mtoto anaweza kuwa sio wa Mr Patrick kwa DNA
Ila kama alizaliwa ndani ya ndoa yao ni wa kwake kisheria na cheti cha kuzaliwa ni nyaraka ya serikali inathibitisha hivyo.
Huyo Muna ni mmoja ya wadada wengi wa kitanzania wenye tabia ya kubambikiza watoto wanaume
 
35928055_380890222433007_8182515789597769728_n.jpg

Birth certificate???????

Hiyo wewe ndiyo unaitaja ila anayejiita baba wa huyo mtoto anaonyesha cheti cha ndoa na picha za harusi kuwa ni evidence zake kuwa mtoto ni wake.
 
Hata sielewi unachokipigania ni nini Mkuu, ok lets conclude kwamba wote wanaotokwa machozi, wanaopatwa na huzuni na kuonesha hisia za namna hiyo ni wanawake, na wasioonesha hisia hizo, yaani yule ambaye hata akifiwa halii au akiumia haoneshi kama ameumia ndiyo mwanaume, hapo vipi. You can't supress inner feelings coz zipo hata kabla ya mind, dont yo ask yourself kwa nini watoto wachanga kabisa wanalia, wanacheka, wanashtuka au wanatabasamu?
Labda wewe unayesema unaumia moyoni ungeniambia uhusiano wako na marehemu na kinachokuumiza ni nini? Ningekuelewa ungeniambia umesikitishwa na kifo maana kifo hata cha mnyama husikitisha, lakini kuniambia unaumia moyo kwa mambo yasiyokuhusu....mmmh!
 
Mkuu umepanic, agiza kinywaji unachotumia hapo jirani nakuja kulipa
 
Mama wa mtoto yuko Instagram "anachamba" na simu yake imeflot rambirambi zingine zinagoma mpaka atowe zilizopo.

Kuna wakati tukiweka siasa pembeni Magufuli ni Rais sahihi tulie naye kwa aina ya mijitu ya hovyo iliyojaa nchi hii, njia pekee ya kuirudisha kwenye mstari ni kuwabinya kwelikweli kiasi kwamba kila mtu atamani kuwa mlokole jinsi dhiki zitakavyowaandama. Kwa hili huwa namuunga mkono Magufuli ndiye Rais sahihi kwa mahitaji ya wakati na atakapoanza kuwatandika viboko watu wazembe kule ikulu mishipa ya fahamu ya wajinga wote itazibuka.
Nimecheka kwa sauti, you made my day mkuu
 
Ngoja wazike kwanza...

Heshima anastahili mtoto huyu asiye na hatia..

Then mtaona moto utaowashwa.
 
Huyo malaya Maimuna awahi haraka kwenye sala ya toba, Mungu hataniwi kiasi hiki kugeuza makanisa ya kilokole kuwa ndio kichaka cha wahuni.

Ndio maana najivunia ukatoliki wangu tunakunywa bia na maparoko wetu bila unafki na parokia zetu zina miradi ya social club ambazo bia zinauzwa bila unafiki tofauti na hii mijitu inayojiita milokole minafki kabisa
 
Back
Top Bottom