Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Huyo malaya Maimuna awahi haraka kwenye sala ya toba, Mungu hataniwi kiasi hiki kugeuza makanisa ya kilokole kuwa ndio kichaka cha wahuni.

Ndio maana najivunia ukatoliki wangu tunakunywa bia na maparoko wetu bila unafki na parokia zetu zina miradi ya social club ambazo bia zinauzwa bila unafiki tofauti na hii mijitu inayojiita milokole minafki kabisa
Bwana Asifiwe!
 
Hakika mimi mwenyewe nilishauri kukiko peter akubali ujinga huu ni bora aende kuzuia kuzikwa mpaka mahakama itoe muongozo
Huyu jamaa labda aanze uanaume kwenye huu msiba alikua anagongewa na Kalala Jr mke wake huyo Muna na watu wote wanajua na anajiachia naye kila sehemu za starehe na Peter yupo kama Zombie hafanyi kitu
 
Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho na damu vinachuruzika.

Muna anadai mtoto ni wa Casto Dickson, yule mtangazaji wa Siz Kitaa (Clouds), Casto anadai mtoto ni wake lakini upande wa pili, yupo baba halisi, Peter Zacharia ambaye anavyo vithibitisho vyote vya kisheria kwamba Patrick ni mwanaye.

Muna anataka yeye ndiye achague wapi anamzika mwanaye, Zacharia anadai yeye ndiyo baba halisi wa mtoto kwa hiyo ndiye atakayechagua wapi pa kumzika mwanaye na azikweje. Muna anasisitiza kwamba mtoto ni wake na msiba ni wake kwa hiyo yeye ndiye atakayemzika mwanaye.

Kuna misiba miwili kwa maiti ya mtoto Patrick, Muna ameweka msiba nyumbani kwake, Zacharia pia ameweka msiba nyumbani kwake. Waombolezaji wamechanganyikiwa, hawaelewi waende kwa Muna au kwa Zacharia.

Zacharia anasema mwanaye akizikwa bila ridhaa yake, yupo tayari hata kufuata sheria ili mwanaye akafukuliwe na azikwe anapopataka yeye, kwa sababu yeye ndiye baba halisi. Anavyo vithibitisho, kikiwemo cheti cha ndoa na Muna na anaeleza kwamba hajawahi kumuacha mkewe huyo, ile yeye ndiye aliyekimbia nyumbani kwao, mtoto akiwa na miaka mitatu.

Nini hatma ya malaika Patric ambaye maskini ya Mungu hana hatia katika hili? Maiti yake inagombewa na kuna hatari akizikwa kabla ya hizi tofauti hazijapatiwa ufumbuzi, mwili wake utafukuliwa na kuzikwa upya.

Yajayo yanahuzunisha sana!


Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Munalove Patrick Peter Zacharia Komu almaarufu Partsmartboy Afariki dunia
Apimwe DNA!
 
Huyu jamaa labda aanze uanaume kwenye huu msiba alikua anagongewa na Kalala Jr mke wake huyo Muna na watu wote wanajua na anajiachia naye kila sehemu za starehe na Peter yupo kama Zombie hafanyi kitu
Ushaambiwa alipewa limbwata unadhani kauli angeitoa wapi.....unalijua limbwata wewe??? Shauri yako usiombe mwanamke akufanye zoba
 
Ila kiukweli huyu jamaa hata kama ikionekana mtoto sio wake lakini ame-play part yake kama mzazi kama yote aliyozungumza yana ukweli kuanzia kutoa huduma za kifedha n.k ...mambo mengine ya migogoro ya familia hiyo tunaachia
Na amekua akisaiddia licha ya kutofautiana kimawazo.
 
huyo Muna ni kiboko. aliacha kumtambulisha mtoto kwa baba yake halisi akiwa hai anakuja kusema mtoto amekufa, kwa maslahi ya nani? wadada wa mjini bwana!!!!?
 
Kweli nimeamniHawa wanawake wanaojichora Tatooo akili zao huwa wakienda chooni wanaziacha huko huko..... Kingenie nimejifunza kuwa Mwanamke kama huko nyuma alishawahi kuwa Malaya maisha yake yote hawezi kuacha Umalaya hata akiwa Nabii... Hii ndiyo aina ya Wanawake tulio nao mtaani.. Peter ni Mwanaume Jasiri sana na kwa umri wake wa 48 anachokifanya ni busara sana na anapashwa kuheshimika.

Kifupi Mwanamke Malaya ni Malaya tu.. Huyo Muinjirist anayetembea na Huyo Malaya naye imedhihirisha kuwa siku hizi Wakristo hawaheshimu tena Imani ya Kikistro... Iweje ukubali kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye aliolewa na hajawahi kupewa talaka?

Kwa kweli Mheshimiwa Rais endelea kukaza ilia Sura halisi za wanawake tuzione.
Na principle ya msing wanaume wenzangu...ni..malaya haudumiwi hata siku moja...piga mlipe aende..
 
Aisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
 
Tena ni mwanaume haswa. The problem Marioo na Malaya nchi hii wamekuwa wengi kiasi kwamba wanataka kuwaaminisha watu wote kwamba ujinga wao ndio maisha halisi tunayopaswa kuishi
Which is not fuckn true....

Wafie mbalii mariioo hao na malaya wotee..
 
Huyu jamaa labda aanze uanaume kwenye huu msiba alikua anagongewa na Kalala Jr mke wake huyo Muna na watu wote wanajua na anajiachia naye kila sehemu za starehe na Peter yupo kama Zombie hafanyi kitu
Hana uanaume wwt sema kashikwa masikio sasa hivi

Maana alikua anajua mtoto ana mababa wawili pia
 
Back
Top Bottom