Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Yaani wote hapo hawafai kuwepo shuleni ......period kila mtu akaanze maisha yake upya ...kwingine
 
Imefikia siku hizo walimu wengi wamrwageuza watoto vimada wao!

Shule nyingi tu watoto wanagombania mwalimu!
Serikali ikipitisha kura ya siri walimu wengi watatajwa kula wanafunzi!

Nachukia sana hii tabia

Nasimama kama mzazi
Wazazi pia tutimize wajibu wetu, hivi vibinti vya siku hizi ni tatizo, vinapenda sana ngono, haviskilizi wazazi, unakuta kabinti ka form 2 kana boyfriend boda boda, mwalimu, mwanafunzi mwenzie na mkulima.

Worse enough unakuta wengine wanatambulika mpaka Kwa mama nyumbani, kanatumia Simu ya mama kuwasiliana nao, na km hakapo Simu ikipigwa mama hapokei.

Tabia za hiki kizazi zinatia shaka sana kuamini scripts zao, no wonders ukiingia darasa la form 2 unakuta bikra wawili, vyote vishatiana, Tena vingine vyenyewe ndo vina initiate mchakato wa kutiwa.

Wazazi turudi kwenye misingi, tuongee na Watoto. Hali mtaani inatisha sana, nyumba ya kwanza ya pili lazima ukute Binti WA miaka 17 kazalishwa ovyo ovyo katelekezwa, nadhn tatizo laanzia huku.

TUACHE KUWALEA KINA JUNIOR KIZUNGU
 
Kumbe uwalimu safi sana unajilia tuu mbususu.
Ila madaktari bwana wanachezea mbususu za wake zetu watakavyo
 
Umeandika vema.
Naona watu wengi wanaandika kwa hisia sana.

Feminists wanamhukumu kabisa mwalim Jimmy bila hata kujua anafananaje na kumsikia.
Ukimsikiliza binti kuna maswali mengi kwenye mlolongo wa maelezo yake. Kuanzia kuwa bwenini, kutoroka shule, kutokwenda nyumbani, nk

Ili kutenda haki kuna haja ya uchunguzi mpana zaidi kuanzia shuleni kiujumla na nyumbani kwa binti. Uchunguzi jinsi watoto wanavyolelewa
 
Sawa alinyanyaswa ila kwa nini asiende nyumbani kwa wazazi wake aende kuishi kinyumba na baba jose?
 
Ulikuwepo ndugu mwalimu jimmy ana haki yake na Ester ana haki yake
 
Sawa alinyanyaswa ila kwa nini asiende nyumbani kwa wazazi wake aende kuishi kinyumba na baba jose?
Hiv ww na hilo fuvu lako unadhan ikionekana ni kweli alibakwa unadhan tutafika kutaka kujua kwann alienda kwa baba Jose na sio kwa wazazi,na apo kasema baba jose alimuokota sio kwmb alienda.
Swala ni kwmb hata uyo dogo angekua malaya wa kutupwa hata bwana Jimmy angemkuta dogo katawanga mapaja hostel bado hatakiwi kumla,,mwanaume yyte kamili anapaswa kuelewa hatakiwi kujihusisha na mwanafunzi ambae hajafika chuo
 
Nina mdogo wangu ana vitabia kama vya huyo binti, hawa madogo wakianza kuukalia hufanya lolote ilimradi tu akaukalie.

Yule dogo alikua ni pretender mzuri mnoo, kama wewe ni mgeni na ukaambiwa/ ulikua unaskia tuhuma zake ukaja kumuona live huwezi kuamini, kwanza utahisi anaonewa.

Yaani hapo unawezakuta hao wote wameangushiwa jumba bovu ila kuna mnyoa kiduku ndo alikua kwake ila anamlinda coz akimtaja ataonekana wa ajabu.
 
Kwa hiyo akili yako ya darasa la 3 unaona solution ya kubakwa ni kutoroka shule? Shule ina walimu wa kike, ina matron, ina mkuu wa shule, ina mwalimu wa nidhamu na malezi angeweza kuripoti huko baada ya kufanyiwa tukio la kubakwa. Eti aliokotwa na baba jose? Aliokotwa ndani ya shule then akakubali kuishi kama mke huku akiwa kajibadirisha jina? Let's say aliokotwa kweli wewe ukimuokota mwanafunzi unaanza kuishi nae kama mkeo?
Kitendo cha mwanafunzi kubakwa na mwalimu kiko sensitive sana kwa mwanafunzi angetoroka shule na kwenda nyumbani kutoa taarifa kwa wazazi hata angeokotwa na huyo baba jose angeomba amsaidie kufika nyumbani kwao.
 
Hakuna serikali duniani inayofanya maamuzi km hayo unayofikiria mzee,kwa serikali huyo ni mwanafunzi ,mtu yyte anaedhibitika kumharass mtoto duniani kote huwa ni adui wa kila mwananchi bila kujali tabia za mtoto huyo mfn R kelly kwa US.

Kwa namna yyte Mwl Jimmy na Baba Jose wanatakiwa kuwajibika kwa miaka mingi ndani ikidhibitika wamefanya ivyo,

Ndo mana serikali ikaweka kikomo cha viboko viwili km adhabu kwa watoto ama suspension ya muda stahiki
 
Unashindwa kujua case ya msingi apa ni nn?!
Mtoto kubakwa ama sio?!
Hayo ambayo unayoyataka ww kwmb alitakiwa kufanya nn baada ya tukio hilo ni baadae..

What if mfumo wa shule sio rafiki kwa wanafunzi kureport case km iyo?!

What if imewah kutokea before mwanafunz kureport na hamna kilichofnyika?!
Ndo mana kuna haya ya case hii kufika mahakamani km wazaz wa dogo walivyoomba!!

Na kwa baba Jose km bado yuko hai mpk sasa nae atawajibika mana ametake advantage kumrubuni dogo akijua ni mwanafunzi na hata km hakujua ilipaswa kufatilia kabla ya kuishi nae

Umeyaconsider haya we fuvu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…