Sakata la Nabii Geor Davie, JamiiForums yatajwa

Sakata la Nabii Geor Davie, JamiiForums yatajwa

Huyo Nabii ana habari gani mpya ya kumfanya awekewe mic zote hapo mezani?

Afu wachungaji wanajiabisha these days, sasa we una press badala utoe hoja we una preache

Sa hiyo ndio nini?

Tunafahamu hiyo ni sauti ya madhabahuni, akiwa kwake huyo haongei hivyo, mi nimewaona wengi na mtani tunaishi nao fresh tu.
 
Huyo Nabii ana habari gani mpya ya kumfanya awekewe mic zote hapo mezani?

Afu wachungaji wanajiabisha these days, sasa we una press badala utoe hoja we una preache

Sa hiyo ndio nini?

Tunafahamu hiyo ni sauti ya madhabahuni, akiwa kwake huyo haongei hivyo, mi nimewaona wengi na mtani tunaishi nao fresh tu.
Mganga njaa
 
Kwani mban naona Yule mama anaongee na mwandish mmoja ila sikumtilia maana mnk ameniudhi Sana
 

1 Corinthians 2:15

The spiritual person judges all things, but is himself to be judged by no one.

2 Corinthians 11:13-15

For such men are false apostles, deceitful workmen, disguising themselves as apostles of Christ. And no wonder, for even Satan disguises himself as an angel of light. So it is no surprise if his servants, also, disguise themselves as servants of righteousness. Their end will correspond to their deeds.

Matthew 18:15-17

“If your brother sins against you, go and tell him his fault, between you and him alone. If he listens to you, you have gained your brother. But if he does not listen, take one or two others along with you, that every charge may be established by the evidence of two or three witnesses. If he refuses to listen to them, tell it to the church. And if he refuses to listen even to the church, let him be to you as a Gentile and a tax collector.

Matthew 7:15-20
“Beware of false prophets, who come to you in sheep's clothing but inwardly are ravenous wolves. You will recognize them by their fruits. Are grapes gathered from thornbushes, or figs from thistles? So, every healthy tree bears good fruit, but the diseased tree bears bad fruit. A healthy tree cannot bear bad fruit, nor can a diseased tree bear good fruit. Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire. Thus you will recognize them by their fruits.


2 Peter 2:1 ESV
prophets also arose among the people, just as there will be false teachers among you, who will secretly bring in destructive heresies, even denying the Master who bought them, bringing upon themselves swift destruction.
 
Wajinga siku zote ndio waliwao wala wasahili hawakuongopa. na bado majitu hayashtuki tu SHAME
 
Back
Top Bottom