Sakata la Ngorongoro; Tusioelewa vizuri tueleweshwe

Nimekuelewa vizuri sana kiongozi.
Naomba uniongezee kidogo, watu tunaoambiwa wanaamishwa Ngorongoro kwenye hifadhi ni kweli wanafanya shughuli za kuharibu mazingira ndani ya hifadhi na kama yes zaidi ya overgrazing wanafanya nini kingine?
 
..mwanaharakati asumbuliwa kwa kutoa maoni yake kuhusu Ngorongoro na Loliondo.

 
..Ni vizuri pia kuelewa Wamaasai walifika vipi Ngorongoro.

..Na mchango wa kihistoria wa jamii hiyo ktk masuala ya uhifadhi.

 
faru John yupo?
 
Viongozi wa Afrika niwa jinga una ua raia wako kwa manufaa ya tumbo lako kwa uroho wa pesa na kuona waarabu ni muhimu Sana
we kwl ni mvivu hutaki ht kujielimisha. Ngorongoro hakuna uwindaji ni hifadhi, Hifadhini hawawawindi. wanakowinda ni Loliondo. Ngorongoro ni wilaya vivile kuna tarafa ya ngorongoro na kuna tarafa ya loliondo ila wilaya km eneo la utawala ni Ngongoro. Na kuna tarafa zingine km Sale. Mwarabu ataruhusiwa vp ndaani ya hifadhi? Ndani ya Hifadhi waliruhusiwa wamasai ndio hao wamekiuka utaratibu wa mwanzo kwa kujenga makazi ya kudumu, vilevile wamekuwa wengi na kuna wasiwasi kwa uwingi wa mifugo ile siyo ya wamasai wa Ngorongoro. Tuache serikali ifanye kazi yake. Pakiharibika nyie wa kwanza kuilaumu kuitukana. Tuiamini serikali
 
Achane Mwarabu ndio nini hana jina?take no jina la kama yuko Tanzania maana ya mtanzania, Acheni ubaguzi, tutawachoka. Namwambie asije anaondaka mnyamapori hata mmoja. Kama ataenda kwao kusalimia aende nyama na picha ukirudi aje ndugu wengine. Tanzania nchi ya kijamaa binadamu wote ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…