Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hali ya sintofahamu imewakumba wananchi wa kijiji cha Ugabwa wilayani Makete mkoani Njombe baada ya njiwa mweupe mwenye madoa meusi na mekundu kukutwa kijijini hapo akiwa na barua inayotamka Ombeni Chaula kupewa siku 3 alipe deni la magunia 28 ya mkaa anayodaiwa
Tukio hilo limetokea Juni 4,2025 majira ya asubuhi ambapo barua hiyo imeandikwa kwa wino mwekundu pamoja na matone yanayodhaniwa kuwa ni damu, ambapo inamtaka Ombeni alipe deni la magunia ya mkaa aliyochukua na anatakiwa kulipa ndani ya siku 3, jambo lililozua sintofahamu kwa wananchi wa kijiji hicho
.https://www.facebook.com/share/v/1YhRhkis6y/?mibextid=D5vuiz