Walimu zaidi ya wanne walimshambulia kijana wa kiume katika shule ya sekondari ya st Anne kwa madai kua wana mhisi ameweka pedi darasani...jambo hilo lilileta ugomvi mpaka kupelekea shule kufungwa na hatma yake haijulikani......mamlaka husika nafikri mnaisoma hii hebu rekebisheni mambo ili watoto warudi shule
Hao walimu ni mapimbi! nafikiri st.Anne bado wanatabia ya kuokoteza walimu wasio na sifa, sababu ya ubahili wao, maana haingii akilini walimu waeledi kushindwa kutatua tatizo dogo kama hilo mpaka kupelekea shule kufungwa