Sakata la pedi kukutwa darasani st. Anne

Sakata la pedi kukutwa darasani st. Anne

muwasho

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Walimu zaidi ya wanne walimshambulia kijana wa kiume katika shule ya sekondari ya st Anne kwa madai kua wana mhisi ameweka pedi darasani...jambo hilo lilileta ugomvi mpaka kupelekea shule kufungwa na hatma yake haijulikani......mamlaka husika nafikri mnaisoma hii hebu rekebisheni mambo ili watoto warudi shule
 
Hao walimu ni mapimbi! nafikiri st.Anne bado wanatabia ya kuokoteza walimu wasio na sifa, sababu ya ubahili wao, maana haingii akilini walimu waeledi kushindwa kutatua tatizo dogo kama hilo mpaka kupelekea shule kufungwa
 
Ah!Si bora wangekuta used condom ndio wangefanya iwe ishu,walimu vimeo hao.Belivdat!
 
Back
Top Bottom