CoolestKing
Member
- Nov 18, 2018
- 57
- 72
IndeedTungekuwa Na kawaida ya kufuatilia mambo ya Msingi Hata Yeye asingekuwa Maarufu wala asingealikwa kuzungumza pale wala asingekosea, wala asingeomba radhi wala Hii thread isingeanzishwa wala Mie nisinge comment!
Yaan wao wamekuwa Maarufu kwa matendo yao ya Kipuuzi Halafu kwa roho zao mbaya wanataka wenzao wasiwe Maarufu
Leo Hii Shilole Na Amber rutty Ni Maarufu Kuliko Prof Issa Shivji Au Prof Mbwete Pamoja Na wingi wa Research zao Za kitaaluma walizoandika lakin tumechukulia poa wao roho zinawauma wenzao wakitusua
Inasikitisha kwakweliHii picha ya konki likwidii inaniumiza sana nikiiona
bashite ndio mwanzilishi wa ujinga huu mbona humsemi[emoji83] [emoji196] [emoji216] [emoji196] [emoji216]Tungekuwa Na kawaida ya kufuatilia mambo ya Msingi Hata Yeye asingekuwa Maarufu wala asingealikwa kuzungumza pale wala asingekosea, wala asingeomba radhi wala Hii thread isingeanzishwa wala Mie nisinge comment!
Yaan wao wamekuwa Maarufu kwa matendo yao ya Kipuuzi Halafu kwa roho zao mbaya wanataka wenzao wasiwe Maarufu
Leo Hii Shilole Na Amber rutty Ni Maarufu Kuliko Prof Issa Shivji Au Prof Mbwete Pamoja Na wingi wa Research zao Za kitaaluma walizoandika lakin tumechukulia poa wao roho zinawauma wenzao wakitusua
amemsahau bashite ndie chanzoNi vema kama amegundua kosa na kuomba msamaha. Ni uungwana
FactsTungekuwa Na kawaida ya kufuatilia mambo ya Msingi Hata Yeye asingekuwa Maarufu wala asingealikwa kuzungumza pale wala asingekosea, wala asingeomba radhi wala Hii thread isingeanzishwa wala Mie nisinge comment!
Yaan wao wamekuwa Maarufu kwa matendo yao ya Kipuuzi Halafu kwa roho zao mbaya wanataka wenzao wasiwe Maarufu
Leo Hii Shilole Na Amber rutty Ni Maarufu Kuliko Prof Issa Shivji Au Prof Mbwete Pamoja Na wingi wa Research zao Za kitaaluma walizoandika lakin tumechukulia poa wao roho zinawauma wenzao wakitusua
Hahahahah kumamamake Word leo umenichekesha kinoma kichaa angu! Umeongea real shyt kinazi sema umeniacha hoi kinoma yani! Amini kwamba yani, yupo msenge ana file lako ila wewe hujui![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mambo yakimbelembele yaliisha nishinda kabisa najua kabisa kuna mtu anafile langu la fedheha siku nikiyakoroga tu anamwaga mboga, ugali na jiko anazima.. Yani hata kama kuna siku ulienda kunya kimya kimya gizani ukadhani hakuna aliyekuona nakuambia subiri siku uzingue sasa ndo utashangaaa utatajiwa hadi mavi yalikua ni rangi gani. Wahuni sio watuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] truue man yan utakapo zingua ndo utajua kalitoa wapi hilo file watu wanawezakua kama hawana habari ivi na wewe sasa we chokoza sasa utashangaaaHahahahah kumamamake Word leo umenichekesha kinoma kichaa angu! Umeongea real shyt kinazi sema umeniacha hoi kinoma yani! Amini kwamba yani, yupo msenge ana file lako ila wewe hujui!
Tatizo Shishi alianzisha ugomvi kilabuni, ilikuwa hana budi kuzioga chupa na mitusi juu! 😅😅😅😅😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23] truue man yan utakapo zingua ndo utajua kalitoa wapi hilo file watu wanawezakua kama hawana habari ivi na wewe sasa we chokoza sasa utashangaaa
Sent using Jamii Forums mobile app