Sakata la Pierre Liquid; Shilole aomba Radhi

Tungekuwa Na kawaida ya kufuatilia mambo ya Msingi Hata Yeye asingekuwa Maarufu wala asingealikwa kuzungumza pale wala asingekosea, wala asingeomba radhi wala Hii thread isingeanzishwa wala Mie nisinge comment!

Yaan wao wamekuwa Maarufu kwa matendo yao ya Kipuuzi Halafu kwa roho zao mbaya wanataka wenzao wasiwe Maarufu

Leo Hii Shilole Na Amber rutty Ni Maarufu Kuliko Prof Issa Shivji Au Prof Mbwete Pamoja Na wingi wa Research zao Za kitaaluma walizoandika lakin tumechukulia poa wao roho zinawauma wenzao wakitusua
Indeed
 
bashite ndio mwanzilishi wa ujinga huu mbona humsemi[emoji83] [emoji196] [emoji216] [emoji196] [emoji216]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekuwa Na kawaida ya kufuatilia mambo ya Msingi Hata Yeye asingekuwa Maarufu wala asingealikwa kuzungumza pale wala asingekosea, wala asingeomba radhi wala Hii thread isingeanzishwa wala Mie nisinge comment!

Yaan wao wamekuwa Maarufu kwa matendo yao ya Kipuuzi Halafu kwa roho zao mbaya wanataka wenzao wasiwe Maarufu

Leo Hii Shilole Na Amber rutty Ni Maarufu Kuliko Prof Issa Shivji Au Prof Mbwete Pamoja Na wingi wa Research zao Za kitaaluma walizoandika lakin tumechukulia poa wao roho zinawauma wenzao wakitusua
Facts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1059364
 
Mtume muhammad aliwahi kusema...

إذا أردت أن تذكر عيوب غيرك فذكر عيوب نفسك

"utakapotaka kutaja aibu za mwenzio,basi kumbuka aibu zako kwanza"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mambo yakimbelembele yaliisha nishinda kabisa najua kabisa kuna mtu anafile langu la fedheha siku nikiyakoroga tu anamwaga mboga, ugali na jiko anazima.. Yani hata kama kuna siku ulienda kunya kimya kimya gizani ukadhani hakuna aliyekuona nakuambia subiri siku uzingue sasa ndo utashangaaa utatajiwa hadi mavi yalikua ni rangi gani. Wahuni sio watuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah kumamamake Word leo umenichekesha kinoma kichaa angu! Umeongea real shyt kinazi sema umeniacha hoi kinoma yani! Amini kwamba yani, yupo msenge ana file lako ila wewe hujui!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] truue man yan utakapo zingua ndo utajua kalitoa wapi hilo file watu wanawezakua kama hawana habari ivi na wewe sasa we chokoza sasa utashangaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] truue man yan utakapo zingua ndo utajua kalitoa wapi hilo file watu wanawezakua kama hawana habari ivi na wewe sasa we chokoza sasa utashangaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo Shishi alianzisha ugomvi kilabuni, ilikuwa hana budi kuzioga chupa na mitusi juu! 😅😅😅😅😅😅😅
 
Baada ya huu uzi nimethibitisha Habari ya mtungo kwa Shilole ni uzushi unaofaa kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom