Nisome tena Mkuu,ndio maana nimekuquote kwenye post yako nikasema kama utajibiwa swali ulilouliza nistue.Hiyo Mahakama ya Mafisadi tangu imefunguliwa mpaka leo hatujaona utandaji wake.Basi waanze na Lowasa wanaemtuhumu kila kukicha
Watanzania wa chadema ni wanafiki sana mwaka 2008 walishangilia sana edo fisadi leo wamebadilika Amekuwa mtu Safi. Sasa niwaulize hivi huwa mnatafakari mambo ya kitaifa kwa kutumia masaburi au?
Mkuu, mwambie Kamanda Yericko Nyerere aanze kupeleka ushahidi kwenye vyombo vya Mashitaka ili kufungua mashitaka dhidi ya Mjumbe wetu wa kudumu wa Kamati Kuu ya chama. Alimtuhumu sana kwenye uzi huu kwenye link niliyokuwekea hapo chini. Siasa za bongo ndio hizo, umia ujae. Hawa walisherekea kifo cha Mwalimu Nyerere, leo wanamtumia kuutaka urais!