Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tunawajua.Mbona unaweweseka bwashee?!
Huenda wanatupoza tu.Haki itendeke , sheria zifuatwe dhidi ya tuhuma zake .
Hata zimwi hilo lisipomkwisha,kidogo angalau kadhalilika mshenzi huyo.Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Hachomoki huyu ..Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mungu ni mwema siku zote.Hachomoki huyu ..
Bastola zilizomlinda madarakani asidhurike sasa zinamlinda polisi asitorokeView attachment 1807981View attachment 1807982
Mkuu unawaza kama mimi! Mimi mpaka leo najiuliza swali! Kwa nini alikamatwa na kitambulisho feki cha TISS harafu akaachiwa?Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?
Sina imani na hawa watu. Jiulize mbona Biswalo kaachwa?Mkuu unawaza kama mimi! Mimi mpaka leo najiuliza swali! Kwa nini alikamatwa na kitambulisho feki cha TISS harafu akaachiwa?
Anyway kwa kuwa nin Utawala mwingine ngoja tuone!
Hapo sasa!Sina imani na hawa watu. Jiulize mbona Biswalo kaachwa?
Kivipi fungukaKama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Kwahiyo tayari una HUKUMU yako kichwani?Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?
Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?
Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kutoyajua..
Time will tell.
Jamhuri ni dubwasha fulani hivi ambalo kama hulijui unawezataka kucheza cheza nalo kama unavyofanya hapa. Amani ya nchi haipo juu ya mtu mmoja.Kama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Huyooo ndani ya mikono salamaMungu ni mwema siku zote.