Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo umeongea ukweli.Sabaya itapigwa dana dana na ataendelea na maisha mtaani.
Na hapo atawekewa dhamana basi kazi kwisha
Mademu zake ndiyo wanamtetea kwa kuwa ndiyo alikuwa anakula nao mabilioni yake aliyopora. Huyu jela inamhusuKama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Huyu alikuwa anaacha alama nyingi sana katika ujambazi wakeSina imani na hawa watu. Jiulize mbona Biswalo kaachwa?
Mkuu wenzio wa bavicha wanaoshangilia wana vichwa vya panzi,Leo umeongea ukweli.
CC: MATAGA wote wa JamiiForums.
Kalipie kadi ya LAKI 2 Mbowe akale BATA Dubai.We tukana tu ila habari ndio hio.
Hili jitu tokea kuzaliwa kwake limeshamiri ujinga.Mbona unaweweseka bwashee?!
Kwa mfano hiyo kula wake za watu nayo si inahitaji ushahidi wa wazi?Hawezi kuchomoka kwenye mashtaka yote hayo, labda ya ubakaji na ulawiti yanayohitaji ushahidi kama picha za video au manii na nywele za sirini, japo pia ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia hatiani kutokana na hoja zitakazotolewa na upande wa mashtaka.
Lakini hayo mashtaka ya kupiga watu, kuhudumiwa na kutolipa, kuchukua wake za watu mbele ya waume zao that's kidnapping wengi waliona, kazi anayo.
Wakati anaonywa kutokana na matendo yake, mbona mlikuwa mnawakejeri waliokuwa wanamuonya?Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?
Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?
Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua..
Time will tell.
Dada unampenda mumeo kweli kweli na pingu zile na bastola mgongoni ndiyo special treatment? Lini wakina Lema uliona wameoigwa pingu? Haya dada mpende mumeo.Mkuu wenzio wa bavicha wanaoshangilia wana vichwa vya panzi,
Kwanza hiyo special treatment anayopewa inaonesha pengine hakuwa hata huko mahabusu. Mbona kina Lema pamoja na kuwa walikuwa wabunge ila walikuwa wanapakiwa kwenye karandinga tena na mitutu juu? Inakuwaje huyu anashuka kwe cruiser tena kiofiser namna hiyo?
Kuwadanganaya wajinga somtimes ni muhimu ili nchi iendelee.
Siku utakayo muona sabaya yuko mtaani ndio utajijua kumbe wewe ndio dada!Dada unampenda mumeo kweli kweli na pingu zile na bastola mgongoni ndiyo special treatment? Lini wakina Lema uliona wameoigwa pingu? Haya dada mpende mumeo.
Kumbuka iliwahi daiwa kuwa alikuwa anakusanya noti kwa ajili ya shughuli za chama fulani.
Sawa dada mpende mumeoSiku utakayo muona sabaya yuko mtaani ndio utajijua kumbe wewe ndio dada!
Ni wajinga pekee wanfaofikiri Sabaya atafungwa hata mwezi mmoja tu
Dhalim yule kule jehanamShida ya Sabay ni mentor wake....angeweza kuwa kiongozi mzuri sana kama angepata mentor mzuri..sijui mentor wake alikuwa nani?