Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

Sabaya itapigwa dana dana na ataendelea na maisha mtaani.

Na hapo atawekewa dhamana basi kazi kwisha
 
Kama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Mademu zake ndiyo wanamtetea kwa kuwa ndiyo alikuwa anakula nao mabilioni yake aliyopora. Huyu jela inamhusu
 
Leo umeongea ukweli.

CC: MATAGA wote wa JamiiForums.
Mkuu wenzio wa bavicha wanaoshangilia wana vichwa vya panzi,

Kwanza hiyo special treatment anayopewa inaonesha pengine hakuwa hata huko mahabusu. Mbona kina Lema pamoja na kuwa walikuwa wabunge ila walikuwa wanapakiwa kwenye karandinga tena na mitutu juu? Inakuwaje huyu anashuka kwe cruiser tena kiofiser namna hiyo?

Kuwadanganaya wajinga somtimes ni muhimu ili nchi iendelee.
 
Chengachenga hapana,huyu mtu ana jinai tena zilizo waziiii.Watanzania si wajinga
 
We tukana tu ila habari ndio hio.
Kalipie kadi ya LAKI 2 Mbowe akale BATA Dubai.

Wewe endelea kusubiri Mbowe akishika madaraka ndio amalize shida zako zoteee.

Muhimu nunua kadi yeye akale maisha DUBAI na Joyce Mukya.
 
Hatua hii ni ya kupongezwa mno. Mama Samia angeweza sana kumtumbua tu na kufunika kombe.

Acha haki ikatendeke Mahakamani sasa.
 
Kwa mfano hiyo kula wake za watu nayo si inahitaji ushahidi wa wazi?

Hata hiyo ya huduma kisha hakipi utakuta labda anadaiwa si zaidi ya milioni 10 ambazo kwake ni hela ya mboga tu

Sabaya kwenye hii kesi itapigwa dana dana na atawekewa dhamana kisha kesi kwisha.
 
Wakati anaonywa kutokana na matendo yake, mbona mlikuwa mnawakejeri waliokuwa wanamuonya?
 
Dada unampenda mumeo kweli kweli na pingu zile na bastola mgongoni ndiyo special treatment? Lini wakina Lema uliona wameoigwa pingu? Haya dada mpende mumeo.
 
Kama anaonewa vile.Si alikuwa Mkiti kamati ya ulinzi na usalama.
Mifumo yetu na Katiba in dhaifu?

Kwanini alipokuwa anatenda hayo mengi vyombo vilikuwa wapi?

Je alikuwa na kinga kama JOBO?
Kamati ya maadili ya CCM ilikuwa wapi?

WANGAPI WAMEUZWA KWA KIPINDI CHOTE HICHO.
 
Dada unampenda mumeo kweli kweli na pingu zile na bastola mgongoni ndiyo special treatment? Lini wakina Lema uliona wameoigwa pingu? Haya dada mpende mumeo.
Siku utakayo muona sabaya yuko mtaani ndio utajijua kumbe wewe ndio dada!

Ni wajinga pekee wanfaofikiri Sabaya atafungwa hata mwezi mmoja tu
 
Kumbuka iliwahi daiwa kuwa alikuwa anakusanya noti kwa ajili ya shughuli za chama fulani.

Serikali ya hicho chama fulani usichokitaja jina ndio kinafanya uchunguzi sasa?
Au ndio tuwe na subira ?
 
Shida ya Sabay ni mentor wake....angeweza kuwa kiongozi mzuri sana kama angepata mentor mzuri..sijui mentor wake alikuwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…