Iloswali kawaulize bakwata ndio walianza kumpamba mtukufu waoSasa Mzee wangu, ikitokea Wakatoliki au walutheri au wakristo wote kwa ujumla wakatangaza kura ni kwa flani(upande tofauti na aliochagua sheikh wako) kama alivyofanya Sheikh Ponda unadhani nini kitatokea baada ya matokeo!?