Uchaguzi 2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

Sasa Mzee wangu, ikitokea Wakatoliki au walutheri au wakristo wote kwa ujumla wakatangaza kura ni kwa flani(upande tofauti na aliochagua sheikh wako) kama alivyofanya Sheikh Ponda unadhani nini kitatokea baada ya matokeo!?
Iloswali kawaulize bakwata ndio walianza kumpamba mtukufu wao
 
Umenena Vyema..
 
..maeneo mengi wanalalamika WAMEONEWA na serikali.

..msikilizeni huyu Sheikh dua anayoomba.

 
Sasa Mzee wangu, ikitokea Wakatoliki au walutheri au wakristo wote kwa ujumla wakatangaza kura ni kwa flani(upande tofauti na aliochagua sheikh wako) kama alivyofanya Sheikh Ponda unadhani nini kitatokea baada ya matokeo!?
Kabla ya kujibu swali lako jiulize kwa nini tangu kuingia madarakani kwa serekali hii ya kidhalimu ya awamu ya 5 kwa nini wamekuwa wakijipendekeza sana kwa waislamu wa BAKWATA na kuwa rasimisha katika shughuli zao za kisiasa kila kukicha?

Kisha jiulize kwa nini ikafikia mpaka Sheikh wa mkoa ikabidi aombe dua kwa jina la Yesu kitu ambacho ni kinyume na mafundisho ya dini ya kislam jambo ambalo hata mtoto mdogo wa madrassa hawezi kufanya jambo hilo?

Then jiulize tena mbona kuibuka kwa Ponda ghafla masheikh ubwabwa wa BAKWATA na wale wazinzi kina Kipozeo wamehamaki na kuja juu kama moto wa kifuu huku waislam woote wakiwadharau ?

Ukipata majibu haya matatu katika kujiuliza kwako basi utakua umepata jibu la swali lako kuhusu wakatoliki nao wakiamua kumsapport wa kwao ...

Maendeleo hayana vyama waislam tumekubaliana tunaenda na SHEIKH PONDA ISSA PONDA


# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE REAL KINJEKETILE BULLET CONDENCER
 
Mashekh wanaotetea wanyonyaji wa wananchi ni wapuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu fafanua hapo ulipoandika ''wote uislamu unawakataa" tuambie kwanini wanakataliwa? Au kosa lao ni nini mpaka wakataliwe?
 
Mkuu fafanua hapo ulipoandika ''wote uislamu unawakataa" tuambie kwanini wanakataliwa? Au kosa lao ni nini mpaka wakataliwe?
Wanayo yafanya Uislamu unakataa.

Kosa lao ni kutomfata Mtume.
 
Hahhahhahahha
 
Wanayo yafanya Uislamu unakataa.

Kosa lao ni kutomfata Mtume.
Sheikj Ponda anamfuata mtume kwa kusimamia haki.

Sheikh Ponda kapigwa risasi kwa anilo ya dini kama mtume alivyong'olewa jino kwa ajili ya dini.
 
Hebu hayo maswali yageuze yawe ya Sheikh Musa wa Mkoa wa Dar ,penye Lissu weka Magufuli ,penye Wakristo weka Waislam!
Huu unafiki utaimaluza hii nchi ,inakuwaje Kiongozi wa Dini akiunga mkono Chama Tawala haina,shida ...lakini kinyume chake Ni Udini!
Tunajikaanga kwa Mafuta Yetu wenyewe...!
Mimi Niko mbioni kuhama KKKT....niende kwa Askofu Mwamakula! Awe niwe nasali on line kwa Askofu Bagonza!
 
Sheikj Ponda anamfuata mtume kwa kusimamia haki.

Sheikh Ponda kapigwa risasi kwa anilo ya dini kama mtume alivyong'olewa jino kwa ajili ya dini.
Mtume alikuwa anasimamia vipi haki za waislamu mpaka umfananishe na Ponda ?

Unakubali kwamba unaweza kuipigania dini ila ukawa kinyume na dini ?
 
Wakiristo sio makafiri isipokua akisema au akitenda matendo ya kufru
Na kufru maana yake ni kuvuka mipaka au mtu kuishi bila miiko
Kuna watu wanajiita waislamu au wakristo lakini ni makafiri
Mfano mtu Akitaka kujisifu katika sifa na uwezo wa mungu ni kafiri
Mungu pekee Ndio mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa,,, sasa ukumsikia mtu anasema 'nitamuua mtu fulani' basi huyo ni kafiri aue au asiue
Ndio maana kabla ya Mh, Lissu hajashambiliwa kuna kaffir alisema
'watu kama Hawa they don't deserve to be alive' hii na kauli ya kufru na huyu mtu moja kwa moja ni kafiri,,, maana anaetakiwa kutoa hukumu ya nani awe hai nani afe ni Mola Mwenyezi
Hope you understand ✌️✌️28..lissu Christian kid against kfr
 
Sasa hii meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…