Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Upepo umeishaipita mkuu
Ukiuliza utaambiwa hakuna aliyeshtaki na muhusika aliamua kuachia kwa ridhaa yake
Miss Tanzania ilipigwa ban kwa mwaka mmoja kutokana na hili Saga..
Issue ya huyu binti sio kitu ukilinganisha na takataka na uchafu unaofanyika ktk hii nchi!!
Kwa nini siyo kitu wakati ni sehemu ua uozo?
Katika masakata yote makubwa umelikumbuka hilo…ingawa nalo ni tatizo lakini tungeanza kutafakari yale makubwa yaliyotikisa uchumi wa taifa.
Miss Tanzania ilipigwa ban kwa mwaka mmoja kutokana na hili Saga..
Sijauliza kuhusu shindano la miss TZ.
Nimeuliza kuhusu uchunguzi kuhusu tuhuma za Sitti Mtemvu kuwa na nyaraka zinazokinzana.
ninachojua yule aliehusika kutoa hiko cheti alisimamishwa kazi......
Jibu la swali lako ni hiyo paragraph ya mwisho.
Kuna lingine mkuu?
Nilikuwa sijui, kumbe mwaka huu hakuna shindano!! Nani kawafungia mkuu?