Sakata la Sugu na Blue: Nay wa Mitego amuomba Mr. Blue 'amuuzie kesi'

That's real gangster!

Sugu aache kuiba nyimbo za watu muziki wenyewe anamuimbia nani anatia aibu tu.
CHEZEA TEAM UKIWA! wamechanganyikiwa kweli... hapakazi kawachanganya kila kitu chao kichwa chini miguu juu!
 
Ney tena..........Teh teh teh upele umepata mkunaji!
 
Ney hamuwezi sugu amuulize huyo boss wao Wa muziki wao wanaomuona ndio kila kitu wanamjua sugu ni nani mwambie ney sugu sio omari dimpo
 
Kwani kuna nn mbona mi sielewi kinachoendelea? Halafu hao mnaowaongelea mbona wote hawajui muziki!?
 
Kwani ye blue band kaimba nyimbo ngapi za sugu
 
Naona watoto wa jana na wacheza viduku wanapiga kelele sanaaa kwa kua hawamuelewi mhuni Sugu haaa haaaa hilo nunda ndio limewafanya wazazi wa blue and the like pamoja na hawa wabana pua wenu wakaruhusiwa kuimba leo vitoto vina cruize kweny vits vinajikuta navyo vikongwe,kama unaujua huu muziki hauwezi kuamini upuuzi wa Sugu aibe wimbo tena wa blue.
 
Sasa Sugu kama yeye ni mtabe atunge nyimbo zake sio kuibia madogo. Aiitaji degree ata moja kuona ukweli kwamba Sugu kuchukua wimbo wa blue kila kitu kipo mitandaoni kuanzia original version mpaka iliyoibwa.. Hao mj records awajaanza kutoa nyimbo bure kwa blue sasa sijui nao watanyang'anya siku moja kisa awajalipia. Sugu kaishiwa aendelee kudanganya kwenye siasa huko muziki hauna uongo.
 

Kama unataka kuzungumzia muziki sawa ila ujinga wa siasa za UKAWA na CCM mimi uko sipo maana naona hii ishu wengi imewapeleka kwenye utumwa wa siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…