NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 408
Nafikiri Mr. Blue amekuja kulalamika kuhusu huu wimbo baada ya kuona Sugu ameutoa na ume kick sana kwenye media kuliko version ile ya kwanza aliyotoa.
Pia mimi sioni tatizo. Mbona Adele alipotoa wimbo wa 'Hello' ndipo wasanii kibao wakatoa version nyingine kibao za Hello na mojawapo ya iliyopata jina ni ile ya Joe Thomas. Mbona hakulalamika?
Sioni tatizo